Mpe hela yake! Naongea na wewe mwenye mbwembwe wakati wa kukopa lakini kulipa deni ni shuruti

Mpe hela yake! Naongea na wewe mwenye mbwembwe wakati wa kukopa lakini kulipa deni ni shuruti

"Niazime laki moja nikachakate mbu****"
Alisikika mzabzab kutokea jukwaa la MMU
Ah wee kwani tukikopa hela ya mbususu tunasemaga bwana? Alafu uzuri sie wanaume kwenye hili suala tunasaidiana sana...ukimwambia mwana kuna pisi kali nataka kuipiga wanakuchangia fasta
 
Binadamu anapokuja kukopa kwako mpe tahadhari mbili, either akulipe hela yako wote muwe na amani au akudhulumu aambulie mateso makali ikiwa pamoja na kupoteza maisha au maumivu yatakayomtesa milele.

Shida yetu tunachekeana sana, binadamu akija kwako kukopa mpe utaratibu tu, hukopeshi kwa riba lakini kutolipa kwa wakati na wakati mwingine kama bonus lazima kuwe na dhamana na maandishi yaliyosainiwa na mhusika mbele ya wakili haijalishi ni kiasi gani.
 
kuna wakati ili mambo yako yaende unahitaji kuwa na roho mbaya na mpumbavu zaidi ya wapumbavu.

Inapendeza sana watu fulani wakikuona una roho mbaya huku mwenyewe ukijua una roho nzuri sana ila hupendi upumbavu.

Binafsi sisamehe deni kwaninaye mdae, hapa nakuwa zaidi ya katiri na nikikushindwa basi tambua nikifa utadaiwa na hilo deni nasign halisameheki kwenye mavitabu yangu, ukifa nitadai siku ya mazishi yako na ndugu zako watalipa hata kama litawafilisi.
 
Back
Top Bottom