Mpe hela yake! Naongea na wewe mwenye mbwembwe wakati wa kukopa lakini kulipa deni ni shuruti

Mpe hela yake! Naongea na wewe mwenye mbwembwe wakati wa kukopa lakini kulipa deni ni shuruti

Mtu akija kukopa siku hizi anaambulia ushauri tu,,,,maana kudai nacho ni kipaji
 
kuna wakati ili mambo yako yaende unahitaji kuwa na roho mbaya na mpumbavu zaidi ya wapumbavu.

Inapendeza sana watu fulani wakikuona una roho mbaya huku mwenyewe ukijua una roho nzuri sana ila hupendi upumbavu.

Binafsi sisamehe deni kwaninaye mdae, hapa nakuwa zaidi ya katiri na nikikushindwa basi tambua nikifa utadaiwa na hilo deni nasign halisameheki kwenye mavitabu yangu, ukifa nitadai siku ya mazishi yako na ndugu zako watalipa hata kama litawafilisi.
Sure
 
Back
Top Bottom