Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Sikuachi...Emu niacheni kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuachi...Emu niacheni kwanza
Utaniachia tu … subiri nivimbe 😡Sikuachi...
Nitakulainisha kabla hujapasuka...Utaniachia tu … subiri nivimbe 😡
M….. 😂😂😂😂💃💃Nitakulainisha kabla hujapasuka...
Unapenda Hilo tusi...M….. 😂😂😂😂💃💃
Tusi likwapi hapo 💃Unapenda Hilo tusi...
Usinipakazie bana..
Nina 6 kwa 6 king size... Kama nakuona ulivyokua mnyonge hahahaUsinipakazie bana..
Nendeni mkale… mshibe mrudi makwenu kujiegesha kwenye 4 zenu kwa 5 😂😂😂
Niwe mnyonge kwanini 🙄Nina 6 kwa 6 king size... Kama nakuona ulivyokua mnyonge hahaha
Nipo job cha utundu...Niwe mnyonge kwanini 🙄
Emu tuone hapo unajiegeshaga 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Weka picha nioneNipo cha utundu...
Nipo job alafu bahari naiona ilee pale... HahahahaWeka picha nione
Kwahiyo 😂😂Nipo job alafu bahari naiona ilee pale... Hahahaha