Jamaa ni genius sana ...alikuwa akienda mpirani jioni anaweka maziwa kwenye fridge na wenzake lakini wenzake walikuwa hawachemshi yeye anayachemsha sasa ilikuwa kila wakirud anakuta yake yamagata ya wengine bado ...ndio research ikaanzia hapoUmetupa elimu kubwa sana.