D donga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 2,555 Reaction score 5,202 Mar 26, 2023 #21 Kikwajuni One said: Umetupa elimu kubwa sana. Click to expand... Jamaa ni genius sana ...alikuwa akienda mpirani jioni anaweka maziwa kwenye fridge na wenzake lakini wenzake walikuwa hawachemshi yeye anayachemsha sasa ilikuwa kila wakirud anakuta yake yamagata ya wengine bado ...ndio research ikaanzia hapo
Kikwajuni One said: Umetupa elimu kubwa sana. Click to expand... Jamaa ni genius sana ...alikuwa akienda mpirani jioni anaweka maziwa kwenye fridge na wenzake lakini wenzake walikuwa hawachemshi yeye anayachemsha sasa ilikuwa kila wakirud anakuta yake yamagata ya wengine bado ...ndio research ikaanzia hapo