Mpenda Haki? Mpenda Amani? Jumapili Tukutane Kwa Gwajima!"

Bwana mdogo LOL ..mko na upuuzi mwingi sana nyiyi vitoto vya 2000.
 
Hizi ndizo BANGI zinazowaharibu vichwa. Mtu humjui, lakini unajionyesha ujuaji!
Hicho unachoandika mwenyewe hata hakionyeshi huo u-bwanamkubwa unaofikiri unao wewe bila hata ya kutafakari ujinga unaojionyesha kuwa nao mbele za watu.
 
Nakujua sana bwana mdogo, on 2006 mimi ndio nilio verify your JF account 😎.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…