Mpenda Haki? Mpenda Amani? Jumapili Tukutane Kwa Gwajima!"

Nyinyi mnaoomba kwa makelele usiku kucha bila kujali wengine wanaumwa, wana mawazo Yao wanatafakari, wanahitaji utulivu baada ya pilika za kutwa nzima, nyinyi ndio mna mapepo.
Bila kipaza sauti pepo haliwezi kutoka. 😛
 
Habari ya uzima wana JF,

Sina mengi ya kusema leo, ila niende moja kwa moja kwenye hoja, hakuna neno "amani" bila neno 'haki' nyuma yake.
Kama wewe ni mpenda haki, amani, uhuru na mabadiliko ya kweli katika nchi yetu, basi haya yanayoendelea dhidi ya Kanisa la Ufufuo na Uzima hayapaswi kufumbiwa macho.

Vitendo vinavyofanywa na serikali ni vya hovyo, vya kuvunja katiba, na ni kinyume na misingi ya haki na sheria ya nchi yetu. Naomba viongozi wa dini zote kwanzia Wakristo, Waislamu, Wahindu na Ubudha, kupaza sauti dhidi ya ukandamizaji huu wa uhuru wa mtu kuabudu.

Haijalishi wewe ni Muislamu, Mkristo au mtu asiye na dini iwapo unaamini katika haki, basi sauti yako inahitajika leo. Hakikisha Jumapili hii tarehe 6-7-2025, tunajumuika nao kwa ajili ya kuwatia moyo, kwa maana kanisa si jengo wala eneo, kanisa ni kusanyiko la waumini wanao muabudu Mungu katika roho na kweli.

Tufungue macho na tusimame pamoja, uhuru wa kuabudu ni haki ya msingi kwa kila Raia.
Leo ni wao, kesho inaweza kuwa taasisi yako, dini yako, au hata familia yako.

"May God strengthen you." 🙏📣💪
View attachment 3393700
Mliopo dar salaam mtu wakilishe
 
KAnisani atakuwepo?
 
🚮🚮
 
Mkuu 'Gagnija', mbona hadi wakati huu amekwisha fanya makosa mengi tu zaidi ya hayo mawili unayoyasubiri?
Au unasubiri damu itirilike kwa wingi mitaani, kuliko inavyo fanyika sasa hivi kwa watu ku otezwa?
Hizo ni ndoto bwana mdogo na kujipa matumaini hewa , lakini sikushangai ni utoto tu ukikua utaacha.
 
Back
Top Bottom