Mpenda Haki? Mpenda Amani? Jumapili Tukutane Kwa Gwajima!"

Mpenda Haki? Mpenda Amani? Jumapili Tukutane Kwa Gwajima!"

Hizo ni ndoto bwana mdogo na kujipa matumaini hewa , lakini sikushangai ni utoto tu ukikua utaacha.
Zipi ni ndoto. Hata kuandika mstari mmoja tu unapata shida kiasi hiki; halafu unajifanya "bwana mkubwa"!
Huo ukubwa si ungekuwezesha hata kuwa na mwandiko mzuri kama uliweza kuhitimu darasa la nne?
Kwa hiyo wewe ni kiazi tu, mnaojongea kwenye meza ya Samia Suluhu Hassan na GENGE lake mkiokoteza makombo.
 
Kwa sasa, sio kwa Tanzania hii.
Nadhani huna umakini. Nilikua nafasi ujieleze kuhusu hayo unayohimiza yafanyike, lakini naona huna nia ya kufanya hivyo.
Wewe unadhani kuswaga watu kwenda kuumizwa tu na watu wanaosubiri iwe hivyo ndiyo njia bora; wakati bado kuna nafasi nzuri ya kuwabana hawa waovu?
 
Lengo langu si kuswaga watu waumizwe, bali kuhimiza sauti ya pamoja kwa njia ya amani na msimamo wa haki.
 
Back
Top Bottom