Mpende anayekupenda, asiyekupenda achana naye

Mpende anayekupenda, asiyekupenda achana naye

Nilikuambia 😂 ona sasa comment imefanywa uzi
Dogo kapigwa na kitu kizito🤣🤓, kaandika nyuzi 2 kwa mpigo.
Ona hii😁😂
Screenshot_20240309-095148_1.jpg
 
Mafanikio siku zote hujengwa katika sekta nyiiingi kiakili,kimwili n.k ...Hivyo usilazimishe mambo hata kama una wadhifa kiasi gani maana kulazimisha huko kutapelekea wewe kutopiga hatua .


Somo lako ni muhimu kwa wanaojitafuta Kutumia akili zaidi ya hisia katika kufanya maamuzi yenye tija maishani mwao
 
Ile character yake ya kuto socialize na vitu Sana, ndo Kama yangu.

Acha tuone😂🤓, Niki choka nta kwambia ma favorite rival uka nipigiee penalty🤓
Sema huyo jamaa kuna wakati kama akili huwa zinaruka😂😂😂ile kipindi alikuwa anajisahau anamgeuka hadi Paul heyman.

Wewe usijali tutafunga hata goli la mkono
 
Kwenye mapenzi ata utende mazuri kiasi gani kuachwa kuko pale pale
😁😁
Kuachwa na mtu unaempenda inauma kweli na inaleta stress unaweza kujikuta unapiga pasi nguo kabati zima, na ukimaliza nguo zote unakuja kugundua kumbe hata hukuchomeka waya wa pasi kwenye swichi ya umeme.
Mapenzi haya😎😎😎
Cc: Depal Intelligent businessman
 
Back
Top Bottom