Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Sija WAHI viacha vyangu Hata siku 1, ndo Mana niko nilipoHivyo ulivyofundishwa jifunze
Vya kwako usiviache
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sija WAHI viacha vyangu Hata siku 1, ndo Mana niko nilipoHivyo ulivyofundishwa jifunze
Vya kwako usiviache
Ndo character aloyobpangiwa, sema Brock ni mtu mbadi sana.Hata kabla hajaenda kwa roman bhana. Alikuwa anamzingua baadaye akili zikirudi anaacha😂😂
Oh! Kila nionapo comment yako namshukuru Mungu kwakuwa bado unapumua.Kwenye mapenzi ata utende mazuri kiasi gani kuachwa kuko pale pale
😁😁
Kuachwa na mtu unaempenda inauma kweli na inaleta stress unaweza kujikuta unapiga pasi nguo kabati zima, na ukimaliza nguo zote unakuja kugundua kumbe hata hukuchomeka waya wa pasi kwenye swichi ya umeme.
Mapenzi haya😎😎😎
Cc: Depal Intelligent businessman
Dogi ume chukua jina nililo kupa 🤓😂, kweli mu italy ume pagawa🤣Kwenye mapenzi ata utende mazuri kiasi gani kuachwa kuko pale pale
😁😁
Kuachwa na mtu unaempenda inauma kweli na inaleta stress unaweza kujikuta unapiga pasi nguo kabati zima, na ukimaliza nguo zote unakuja kugundua kumbe hata hukuchomeka waya wa pasi kwenye swichi ya umeme.
Mapenzi haya😎😎😎
Cc: Depal Intelligent businessman
Dogo kabadilisha jina😂🤣, kweli kapagawaOh! Kila nionapo comment yako namshukuru Mungu kwakuwa bado unapumua.
Pambana pambana! Maisha matamu.
Mapenzi si mchezo, kama hutojibadili jina basi watakubdilisha jina hata kukuita ng'ombe.Dogo kabadilisha jina😂🤣, kweli kapagawa
Ila niliona hata wenyewe wanasema Brock ni baadhi ya watu wanaooendaga kinyume na script wakati mwingineNdo character aloyobpangiwa, sema Brock ni mtu mbadi sana.
Mwingine aliye teseka ni roman reigns, kumpigia Brock ali kuwaga Hadi ana changanyikiwa🤓😂
Ukifikia hatua hiyo tukupige tu ufe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwenye mapenzi ata utende mazuri kiasi gani kuachwa kuko pale pale
😁😁
Kuachwa na mtu unaempenda inauma kweli na inaleta stress unaweza kujikuta unapiga pasi nguo kabati zima, na ukimaliza nguo zote unakuja kugundua kumbe hata hukuchomeka waya wa pasi kwenye swichi ya umeme.
Mapenzi haya😎😎😎
Cc: Depal Intelligent businessman
🤣😁😁😁Ukifikia hatua hiyo tukupige tu ufe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mbuzi ya mayai wewe😂🤓Mapenzi si mchezo, kama hutojibadili jina basi watakubdilisha jina hata kukuita ng'ombe.
Bora yeye aliyewahi kujibadili jina.
Ni kama stone cold, kamdunda bosi Sana 😂🤣.Ila niliona hata wenyewe wanasema Brock ni baadhi ya watu wanaooendaga kinyume na script wakati mwingine
Stone Gold nae ni habari nyingine. Akianza kupiga na zile pombe zake😂 . Hivi boss wake alikuwa yupi? Yule ambaye alikuja kum boss The Rock?Ni kama stone cold, kamdunda bosi Sana 😂🤣.
Brock Lesnar ni mtu ambaye ana penda kutawala.
Roman reigns siku hizi ana zingua🤓
Bosi wa enzi zile ni Vince McMahon, ali dundwa Sana.Stone Gold nae ni habari nyingine. Akianza kupiga na zile pombe zake😂 . Hivi boss wake alikuwa yupi? Yule ambaye alikuja kum boss The Rock?
Roman wanambeba sana, acha tusubiri main event kwenye Wrestlemania, Amercan Nightmare asipomnyang’anya tittle ndio basi tena
Huyo huyo alikuja kuwa boss wa The Rock ndio bifu ya rock na Austn ikaanza full kupigana hadi nje ya jukwaa.Bosi wa enzi zile ni Vince McMahon, ali dundwa Sana.
Roman wana mbeba ili kuzidisha chuki ya mashabiki, ili siku aki pigwa wafuasi waongezeke- business ile😂.
Sema bifu tamu ni ya Brock na triple h.Huyo huyo alikuja kuwa boss wa The Rock ndio bifu ya rock na Austn ikaanza full kupigana hadi nje ya jukwaa.
Sema Rock nae kujiunga na bloodline kaniuzi😂😂.
Uzi wa watu wa stress sisi tunapiga story
Ohh sawa, nili dhani ma colleagues 🤓Hapana hata sio marafiki.
Sawa sawaSija WAHI viacha vyangu Hata siku 1, ndo Mana niko nilipo
Mkubwa naomba niku ulize Jambo kidogo, kwa niaba ya watu 2.Sawa sawa