Mpende anayekupenda, asiyekupenda achana naye

Hata kabla hajaenda kwa roman bhana. Alikuwa anamzingua baadaye akili zikirudi anaacha😂😂
Ndo character aloyobpangiwa, sema Brock ni mtu mbadi sana.

Mwingine aliye teseka ni roman reigns, kumpigia Brock ali kuwaga Hadi ana changanyikiwa🤓😂
 
Oh! Kila nionapo comment yako namshukuru Mungu kwakuwa bado unapumua.

Pambana pambana! Maisha matamu.
 
Dogi ume chukua jina nililo kupa 🤓😂, kweli mu italy ume pagawa🤣
 
Ukifikia hatua hiyo tukupige tu ufe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ni kama stone cold, kamdunda bosi Sana 😂🤣.
Brock Lesnar ni mtu ambaye ana penda kutawala.

Roman reigns siku hizi ana zingua🤓
Stone Gold nae ni habari nyingine. Akianza kupiga na zile pombe zake😂 . Hivi boss wake alikuwa yupi? Yule ambaye alikuja kum boss The Rock?

Roman wanambeba sana, acha tusubiri main event kwenye Wrestlemania, Amercan Nightmare asipomnyang’anya tittle ndio basi tena
 
Bosi wa enzi zile ni Vince McMahon, ali dundwa Sana.

Roman wana mbeba ili kuzidisha chuki ya mashabiki, ili siku aki pigwa wafuasi waongezeke- business ile😂.
 
Bosi wa enzi zile ni Vince McMahon, ali dundwa Sana.

Roman wana mbeba ili kuzidisha chuki ya mashabiki, ili siku aki pigwa wafuasi waongezeke- business ile😂.
Huyo huyo alikuja kuwa boss wa The Rock ndio bifu ya rock na Austn ikaanza full kupigana hadi nje ya jukwaa.
Sema Rock nae kujiunga na bloodline kaniuzi😂😂.

Uzi wa watu wa stress sisi tunapiga story
 
Huyo huyo alikuja kuwa boss wa The Rock ndio bifu ya rock na Austn ikaanza full kupigana hadi nje ya jukwaa.
Sema Rock nae kujiunga na bloodline kaniuzi😂😂.

Uzi wa watu wa stress sisi tunapiga story
Sema bifu tamu ni ya Brock na triple h.
Baada ya triple kustaafu kwa muda, Huku Shawn Michael kavunjwa mkono.

Vince mc mahon kapigwa na Brock, Ika bidi triple h arudi
Aisee Ali nidundia mtu,🤓
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…