Mpende anayekupenda, asiyekupenda achana naye

Hahahaha..jambo gani na ni watu gani hao wawili ,mkuu
Ni ile issue niliyo kuambia ya match yenye wachezaji wengi.

Wame nipa nafasi niwa ongoze, Wana ki potential area, Sasa kina harufu ya wateja kufika.
Wakisema waki pangishe, ni Kama kusaidia watu tu.

Ila kuuza angalau chenchi ya maana Ina fika, na itasaidia wao ku push mambo mengine.
Mimi nakaa nawaza je niwape go ahead, au ndo nawazika.
 
Wewe kwa upande wako unaamuaje
 
Wewe kwa upande wako unaamuaje
Nime shuhudia umiliki wao una leta shida Sana, hata mmoja Kati yao nusura arudishe chenchi Mwaka Jana.

Ndugu wa mzee wao ni Kama Wana litamani, na Hawa wapi baadhi ya ushirikiano kwenye masuala baadhi.

Nime washauri go ahead, kama unaweza wa boost kwenye maisha yao, kuliko kushikilia kitu chenye kukupotezea muda na afya.
 
Pambania unachokiamini, watunze unaowapenda,waheshimu wanaokupenda, mshike anayekushika, mpende anae kupenda, usipoteze mda kwa asiye na mda na wewe, life is too short!
Ukimpata anae kupenda mpende zaidi
Umechelewa sana kufaham hilo..wengne tumeenda mbal zaid tunafanya hiv hata kwa ndugu[emoji16]
 
Pambania unachokiamini, watunze unaowapenda,waheshimu wanaokupenda, mshike anayekushika, mpende anae kupenda, usipoteze mda kwa asiye na mda na wewe, life is too short!
Ukimpata anae kupenda mpende zaidi
Tutawasisitizia wana na wana wa wana wetu.😉
 
Hasa pale unapotaka kwenda next stage ya utambulisho halafu anagoma!anasema Bado yupo yupo kwanza !wakati wewe unataka jiko ndani sio!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…