Fatma-Zehra
Senior Member
- Oct 18, 2020
- 192
- 1,063
Ati?"Mnatumiwa na wanasiasa wa upinzani, vibaraka wa mabeberu"
AiseeHayo maji yanayobabua ngozi...!!? Wanaweka dawa hadi chakula kinapoteza ladha... Hata yakikatika milele..
5 tena.
Chama Cha MazezetaBila shaka utakuwa mpinzani wewe ccm huwa atulalamiki
Wapinzani ndio wamepeleka mgao wa maji Dodoma?"Mnatumiwa na wanasiasa wa upinzani, vibaraka wa mabeberu"
Dhambi ya ubaguzi inawatafuna sana, wapinzani awapo watasingizia corona huku walisema haipo.Wapinzani ndio wamepeleka mgao wa maji Dodoma?
Leo imetelekezwa wamehamia Chato kesho karagwe hawana uchungu kabisa na kodi zetu hawaSuala zima la kuhamisha makao makuu ya serikali kwenda Dodoma lilikuwa ni anasa ya kijinga isiyo na msingi wa kiuchumi.
Na haya ndiyo matokeo yake.
Mji mkuu ulikuwepo tayari Dar, mji wenye watu wengi, mji wa biashara.
Lakini waaapi, lazima tujitutumue kuingia gharama zisizo lazima, wakati mambo ya msingi hatujamaliza.
Typical mentality ya kimasikini.