Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

unachotakiwa kujua mtoa mada ni kuwa kwa sasa vipaumbele vya nchi ni chatoo...na kwa taarifa yako si maji tu ni tatizo hapo dom, hata zile mbwembwe za barabara ya ndani ya mzunguko kuna taarifa mradi umesitishwa!.

wameweka alama kwenye nyumba za watu & kufanya uthamini lakini hv ninavyoandika hapa ni miezi zaidi ya 8 sasa hakuna kinachoendelea!.
 
Wala hakuna mtu atakusikiliza ww na ombi lako. Pambana na hali yako. Naona unamwita baba yako. Na kura ulimpigia. Sasa hivi kipaumbele ni Chato tu. Wengine mkafilie mbali. Mitano au miishirini kabisaaaa
😂😂
 
My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu). Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours ili kupata 2 buckets. Hali ni mbaya zaidi kwa akina mama. Hali ni mbaya sana kwa investors. This is a serious problem. Yawezekana watu wako wanakudanganya. Please visit in person and act
Kwni Juma Aweso hajamtua mama ndoo kichwani?
 
Huyu Awesu amekazana kutumbua tu anasahau kuwa maji hakuna!
 
Kwani mji mkuu si Chato
20210122_194407.jpg
 
My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu).

Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours ili kupata 2 buckets.

Hali ni mbaya zaidi kwa akina mama. Hali ni mbaya sana kwa investors. This is a serious problem. Yawezekana watu wako wanakudanganya.

Please visit in person and act
Rais wa chato na ikulu ipo huko chato dodoma mtasubiri sana.
 
Back
Top Bottom