Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

unachotakiwa kujua mtoa mada ni kuwa kwa sasa vipaumbele vya nchi ni chatoo...na kwa taarifa yako si maji tu ni tatizo hapo dom, hata zile mbwembwe za barabara ya ndani ya mzunguko kuna taarifa mradi umesitishwa!.

wameweka alama kwenye nyumba za watu & kufanya uthamini lakini hv ninavyoandika hapa ni miezi zaidi ya 8 sasa hakuna kinachoendelea!.
 
Wala hakuna mtu atakusikiliza ww na ombi lako. Pambana na hali yako. Naona unamwita baba yako. Na kura ulimpigia. Sasa hivi kipaumbele ni Chato tu. Wengine mkafilie mbali. Mitano au miishirini kabisaaaa
😂😂
 
Kwni Juma Aweso hajamtua mama ndoo kichwani?
 
Huyu Awesu amekazana kutumbua tu anasahau kuwa maji hakuna!
 
Rais wa chato na ikulu ipo huko chato dodoma mtasubiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…