Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

Mimi nilidhani suala hili halimhitaji JPM kuja kulisolve, ni suala la Katibu Mkuu Maji kumwagiza MD Dodoma kulishughulikia.

By the way huyo MD atakuwa amesign MoU na Wizara kuhusu majukumu yake kama Kiongozi wa Maji hapo Dodoma, ni suala la Katibu Mkuu Maji kumfuta kazi huyo MD na kuteua MD mwingine wakishauriana na Waziri wake iwapo anashindwa kutoa huduma ya Maji kulingana na MoU yao

Mwacheni JPM apumzike zake Chato
 
Kipaumbele ni kuijenga Chato, mengine yasubiri kwanza au nasema uongo ndugu zangu?
 
Na maji yalivyo na chumvii mweee yanatoka kwa masaa[emoji2303]
 
Poleni huku mitaa nayoishi mimi maji kila siku tunapata asubui mpk saa 12 au labda kwasababu nakaa krb na kwa PM nawaza tuu.
 
Umepata kibali cha TCRA kuleta hii complain kwenye social media?
 
Kingeni maji ya mvua
 
poleni jamani watu wameongezeka na uwezo wa DUWASA ni kama uko chini
 
Labda uhaba/shida ya maji inatokana na nini
Je walitangaza kuwa kutakuwa na uhaba wa maji?au uko kimya kimya

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Itakuwa matumizi yameongezeka sana, wamejaribu kutoa sababu naona sasa wameamua kunyamaza kimya, niseme ukweli mimi eneo letu tunapata maji kila siku kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tisa au kumi jioni tena ni mengi tu ingawa miaka ya nyuma ilikuwa kama hao jamaa wanaolalamika, hata nikiletewa taarifa ya kukatika yanaweza yasikatike, pia nimejipanga hata yakatike wiki nakuwa na akiba ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…