Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Usinirudishie maumivu
 
Yaani kama ni kweli na sio chai Dada basi huyu jamaa huko mbeleni atapata tabu sana.

Maana usije shangaa siku nyingine wakaja peana makavu geto kwake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu yeye anasogea pembeni au anatoka nje ya geto lake anawaacha wapeane makavu

Jamaa akimaliza anatoka ndani anamwambia nipishe nipite wewe, yeye anampisha X sijui Y aondoke kisha mwenyewe anamkimbilia huyo demu wake chumbani na kumwambia "Pole mpenzi wangu jamaa kakuumiza eeh?" maanina vinatia hasira vitu vingine
 
Sio akili ni matope hayoo.

Amejidharaulisha na ndio sababu wakamdharau. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana angebakwa angepiga kelele kutaka msaada lakini yaonekana alikua anatoa ushirikiano wa viuno uliotukuka

Na hata alipokuja kwa jamaa hakusema kama kabakwa alimwambia katoka kutiwa

Dharau ya kiwango cha Stigilaz Goujje
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah mkuu umefunika
 
Haha haha ye mwenyewe alimmisi kapigwa paipu mbele ako duh huyo ana balaa
 
Hongeraaa bro. we utakuwa na kipaji ila unakifikicha!
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]aaahh babaleee nmechekaaaa

Hii chai noma
 
Mkuu wewe ni hanithi?
 
Umepigwa exile! Hiyo hali imewahi kunitokea Mara moja ila haikuwa kizembe namna hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…