Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Mpenzi alivyoliwa huku namsubiri

Hahaaa. Mie naona wala asiumie sababu kayataka mwenyewe.

Anakubalije watu waliokuwa wapenzi wakapeane makavu chumbani si vituko hivyo.
Walikua nje ndio wakati wanatifuana wakaingia hadi ndani.
 
Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na kumuamini sana huyu msichana kwa misimamo yake. Sasa ikabidi msichana amwambie anamfata na akaniomba nimpeleke. Kweli nilimsindikiza na kufika kwa Jamaa msichana alimuwakia sana. Kwamba hamtaki na amuache hivyo aendelee na maisha yake. Kwakweli ugamvi ulikuwa mkubwa mara wakaingia ndani. Walikaa mda kidogo mimi namsubiri kwenye gari. Baada ya kutoka anakuja huku analia nikamuuliza vipi umepigwa? Akaniambia hapana ila Jamaa kanitia sijui imekuaje paka kanitia tena. Kwakweli nimeumia na haya maumivu ni makuu. Hata sijui nifanyaje.
Bro nahisi kama hauko serious vile. Ila tunatofautiana sana aisee.
 
Man you are so stupid. Ulimpelekaje kwa ex wake...? Ulitarajia nn?
Alaf mwanamke anakuja kukwambia wazi wazi kuwa alitiwa na ww unamchekea.. realy nigga.

Grow up. Real man hawafanyi huo ujinga. Kwan mngempotezea huyo ex nn kingetokea? Be a man
Swai fikirish huyo mdada kwanin hakubadili namba ?tuanzie hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi unapata nguvu gani ya kumsindikiza mpenzi wako kwa ex wake eti akampe makavu makavu yapi kuna wanaume wapole sijui kama mleta mada yaani hata sijui nimuweke kundi gani
Tucheke ndugu yangu maana dunia haijawahi kuisha vituko.

Na weza kuta alivyotaka kutoka na busu alipewa la kuondokea. Huku zoba kabaki kwenye gari anapigwa na jua. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na kumuamini sana huyu msichana kwa misimamo yake. Sasa ikabidi msichana amwambie anamfata na akaniomba nimpeleke. Kweli nilimsindikiza na kufika kwa Jamaa msichana alimuwakia sana. Kwamba hamtaki na amuache hivyo aendelee na maisha yake. Kwakweli ugamvi ulikuwa mkubwa mara wakaingia ndani. Walikaa mda kidogo mimi namsubiri kwenye gari. Baada ya kutoka anakuja huku analia nikamuuliza vipi umepigwa? Akaniambia hapana ila Jamaa kanitia sijui imekuaje paka kanitia tena. Kwakweli nimeumia na haya maumivu ni makuu. Hata sijui nifanyaje.

Vipi bili ya uber haikua kubwa sana?
 
Back
Top Bottom