Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] Umenifanya nimechekaMmh.
Shikamoo mkuuHahahaha kunywa panadol, ila maumivu yakizidi pata ushauri wa daktari
Marhaba mrembo hujamboShikamoo mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] lol.Mpeleke tena mkuu akamfutefute uchafu aliommwagia
Marhaba mrembo hujambo
Tucheke ndugu yangu maana dunia haijawahi kuisha vituko.[emoji23][emoji23][emoji23] Umenifanya nimecheka
Bro nahisi kama hauko serious vile. Ila tunatofautiana sana aisee.Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na kumuamini sana huyu msichana kwa misimamo yake. Sasa ikabidi msichana amwambie anamfata na akaniomba nimpeleke. Kweli nilimsindikiza na kufika kwa Jamaa msichana alimuwakia sana. Kwamba hamtaki na amuache hivyo aendelee na maisha yake. Kwakweli ugamvi ulikuwa mkubwa mara wakaingia ndani. Walikaa mda kidogo mimi namsubiri kwenye gari. Baada ya kutoka anakuja huku analia nikamuuliza vipi umepigwa? Akaniambia hapana ila Jamaa kanitia sijui imekuaje paka kanitia tena. Kwakweli nimeumia na haya maumivu ni makuu. Hata sijui nifanyaje.
Swai fikirish huyo mdada kwanin hakubadili namba ?tuanzie hapoMan you are so stupid. Ulimpelekaje kwa ex wake...? Ulitarajia nn?
Alaf mwanamke anakuja kukwambia wazi wazi kuwa alitiwa na ww unamchekea.. realy nigga.
Grow up. Real man hawafanyi huo ujinga. Kwan mngempotezea huyo ex nn kingetokea? Be a man
Na wewe si ungeenda au kama haiwezekani ungemkataza huyo kipenzi chako asiingie.Walikua nje ndio wakati wanatifuana wakaingia hadi ndani.
Tucheke ndugu yangu maana dunia haijawahi kuisha vituko.
Na weza kuta alivyotaka kutoka na busu alipewa la kuondokea. Huku zoba kabaki kwenye gari anapigwa na jua. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haha imetoka moyoni uvunguni kabisa. Saivi sikatai salam za warembo hasa weweHahhahaha siamini kama umeitikia mrembo mm sijambo imetoka moyoni hiyo
Hii siku sitaisahau. Yani mpenzi wangu alikuwa anasumbuliwa sana na x wake eti warudiane. Hii ilimkasirisha sana mpenzi wangu na aliniomba aende akampe makavu x wake. Kwakweli nilimpenda na kumuamini sana huyu msichana kwa misimamo yake. Sasa ikabidi msichana amwambie anamfata na akaniomba nimpeleke. Kweli nilimsindikiza na kufika kwa Jamaa msichana alimuwakia sana. Kwamba hamtaki na amuache hivyo aendelee na maisha yake. Kwakweli ugamvi ulikuwa mkubwa mara wakaingia ndani. Walikaa mda kidogo mimi namsubiri kwenye gari. Baada ya kutoka anakuja huku analia nikamuuliza vipi umepigwa? Akaniambia hapana ila Jamaa kanitia sijui imekuaje paka kanitia tena. Kwakweli nimeumia na haya maumivu ni makuu. Hata sijui nifanyaje.
mambo bibieMmh.
Niliyatarajia sana majibu ya hivi Kwa mleta mada coz hajielewi.Umekosea na ww ungeenda akutie ili muwe ngoma droo na mpenz wako