Mpenzi aliye "busy" siku zote

Amenishangaza..yani mnapoanza mahusiano nimezoea mnakua na hamu ya juu kumjua mwenzio..lakini yeye yuko relaxed..yani kama vile kashamamliza kila kitu
Hata mda wa kuonana hana

Sent using Jamii Forums mobile app
Perhaps, kashakufahamu kwa kupitia baadhi ya watu na kupewa wrong Info's abt you hapo anatafuta njia ya kukupiga chini for good. Anaways ni mawazo yangu kulingana na hii reply yako. Pole na kila la kheri na jamaa aliye busy anampita hata yule anayelala na mafaili yeye anapata hata muda wa kuangalia Mpira hahaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Wakati mwingine utoto husababisha ama kuleta mateso kama hayo. Ukweli ukiwa na mpenzi ambaye hatambui thamani ya penzi lake, mpenzi ambaye bado ana mawazo ya kitoto kitoto, lazima vitu kama hivyo utavipata hata kama hutaki.
 
Kinachonishangaza ni kicho mwanaume hajawahi kumuona hata ukucha jambo la kumshukuru mungu kaonesha tabia yake mapema.
Hivi ulifuta nn lakini, halafu sisi wanawake tupo tofauti sana ningekuwa mm unamtafuta hakujibu woiiii na mm ningekaa kimya najua ningekuwa naumia sana lakini ningejikaza tu mwisho wa siku unamsahau maisha yanaendelea.

Mtu akiwa hakupendi unajua jamani yaani unajua kwa vituko tu.
 
"HAKUPENDI KAMA UNAVYOMPENDA"
Let me keep it in my mind!
 
Nilifuta nilikosea kuandika,akubali ukweli jamaa hamuhitaji sio lazima amwambie sikutaki.
 
Hakuna maana ya kuwa na mpenzi sasa hapo..
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
 
Mi siwezi kurupuka kufanya maamuzi.sababu nna nia ya kweli.
Sasa nkimbana aseme anadai bado ana nia
Mi aniambie tu kama hana nia.nasepa
Hapana shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahis nmeeleza vzur lakn pia sion haja ya kulazimisha mapenz kwa mtu asokuwa na mda na ww inaezekana ana mtu wake ko anakosa nafas ya kukutafta au kaoa kabisa anyway kwa sababu unataka atamke yeye endelea kusubir na atabadilika mrejesho n muhimu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…