Mpenzi aliye "busy" siku zote

Nashindwa kuelewa, mwanaume unakuwaje busy wakati hujaenda Eden? Yaani kweli jamaa hajala tunda halafu anakuwa busy kiasi hicho?

Au hujamvutia? Yaani first glance na hakutamani hata kuishusha ile ya ndani kweli? Hakika huyo kijana ni mwema sana!!
jamaa itakuwa kapigwa sana kalenda za kupewa kipochi manyoya na still hajapata, ndio maana nae kajiongeza kwa kujikeep busy

thanks to god the almighty
 
mmekubaliana ndoa lini?

thanks to god the almighty
 
Hahahaa mahusiano yana visa sana.
Sasa we umeamuaje kuhusu huyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauna mpenzi hapo.
Maana hakunaga bize ya namna hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kutuchongea tafadhali!!!

Kama mimi kwa mfano, nimelala saa 9 usiku, (ndo ratiba yenyewe hiyo) lakini saa 12 nimeshamka! Hapa hata chai sijanywa halafu nikipotezea SMS zako uniletee nongwa?! Siwezi kulala saa 9 usiku na kuamka saa 12 halafu niishie kuendekeza mapenzi wakati hapo hapo bado unataka kupiga mizinga!!

Ukitaka mapenzi ya Kihindi date na wanafunzi waliomaliza chuo halafu wapo tu home! Hao uta-chat nao hata sms 1000 kwa siku!!
 
mhh pole mdada. hiyo situation napitia sasa ila kwangu mimi ndo ambaye simtafuti mwenzangu. huwa roho inanisuta mwenzio anakutafuta wewe humtafuti wala kumpa attention anayostahili 🙁.
mdau aliyesema hapo juu kwamba jamaa hakupendi yupo sahihi. nikushauri siku muandikie sms moja tu labda "habari mpenzi" halafu si hatakujibu basi ndo iwe kwaheri usimtafute tena.
 
Mimi nilishakua na mtu wa hivi..akijisikia yeye ananitafuta asipojisikia ndo Basi Tena..Nikawa nawaza hivi kweli mtu anakosa kabisa muda wa kunitafuta..Tena makusudi...kufatilia baadae kumbe kuna mambo yanaendelea

Sikutaka kupoteza muda wangu..nilipochanganya na makosa mengine basi niliamua kuondoka,nilimwambia hauji kupata mtu atakaye kupenda km nilivyofanya mimi...hakuamini maana alijua sitaweza kuondoka(weakness yangu Ni kupenda kupita kiasi)
Huyu Mungu alivyo mwema naendelea na maisha yangu miaka inazidi songa

Atakukumbuka baadaye...na muda utakuwa sio rafiki...
Usije thubutu kurudi kwake..mm Ni Bora nibaki single maisha yangu yote kuliko kurudi kwa yule shetani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa mahusiano yana visa sana.
Sasa we umeamuaje kuhusu huyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yan me ata sijaelewa nn cha kufanya make wazaz naona wanaendelea na harakat za kuandaa mahar na pia kutufungisha ndoa,

Na sijawah lala naye,, yan nmeona kisa chako ikabid npitie maon ya wadau,, tatizo ni kuwa nampenda kweli na nimwaka sasa toka nimpose na sijawahi mcheat wakati me npo chuon na yeye yupo village.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpeleleze..kuna kitu kinaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unasubiri nini kuchapa lapaaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba unataka ubambikiziwe mimbaa ulee mtoto sio wako ausioo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Anne..kwa kweli huyu nilishaamua kumuacha but anarudi kuomba msamaha...anasisitiza kabisa ni kazi tu.sasa mi nataka anionyeshe hizo kazi na hayo majukumu ambayo hayampi hata dakika kwangu..nikiona sio reasonable nabaki pk angu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ASA we kwanini unamfanyia hivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…