Mpenzi aliye "busy" siku zote

Jiongeze dadangu
It's better to be alone rather than being with someone who makes u feel lonely

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe mkwe nawe ulipopona machungu yako ukaanza ubazazi[emoji134][emoji134][emoji134]
 


Nilisema.hili jana ...kuna watu wasimbufi alafu hawajiongez kbs
 
Kumbe mkwe nawe ulipopona machungu yako ukaanza ubazazi[emoji134][emoji134][emoji134]
Unajua machungu yoyote huwa yanaambatana na funzo!
Kiukweli mkweo sasa nimeshakuwa conco acid, nayatazama mapenzi katika dimension tofauti sana na ilivyokuwa awali, inshort nimefuzu Afcon ya mapenzi!
 
POLE DADA
HUYO MWANAUME HAJAKUPENDA KESHAKUBWAGA
ANGALIA USTAARABU MWINGINE TU
AU SIO HONEY? 50thebe
 
Alikujibu baada ya masaa mangapi?

Mmefikia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mapenz hapo jipange upya
 
Not getting a message is also a message.. Hakuna mapenzi hapo just anakutumia kama back up plan au kiburudisho tu ndo maana hajisumbui na ww

ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ
 
Siwezi acha tafuta pesa kisa wewe!!!!

Sent using Uncesored Device
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…