Mpenzi aliye "busy" siku zote

Unakuta kimwanamke kisumbufu.umetoka mizungukoni umechoka.Unataka upumzike kanaongea na sim kijijini kwao saa nzima,kila saa kanakuamsha kanakusemesha,kanazima taa kanawasha,kisimu kinakelele kina ita kila saa,maswali ya kijingajinga,kiwashe tv sauti ya juu.Yaani hakana utulivu vurugu akajui kama kuna kuchoka halafu bahati mbaya siku hiyo ujapata mia umetoka kapa...nisamehe mama inanibidi tu nikaushie simu zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu ubizze na dharau, hakuna kitu inakera na kutia hasira kama dharau yaani siku 7 bizze simu iko online serious.
 
Kuna kitu ubizze na dharau, hakuna kitu inakera na kutia hasira kama dharau yaani siku 7 bizze simu iko online serious.
Hakuna kitu sipendi mtu ani show kama dharau aiseeh' bora afanye vyote lakini siyo hiyo takataka..
I promised myself I'll never cry again over him and that's what I am doing!!
I'm training my mind rytna that I'm the best no more tears..!!
 
Yaani unakuta mtu anafanya dharau ukiuuliza anajitetea kwamba bizze hali ya kuwa ni dharau
 
Wachumi wana kitu wanakiita "SCALE OF PREFERENCE ". Wanasema hivi mwanadamu kwa kawaida ujitimizia yale mahitaji yenye umuhimu sana kwanza halafu yasiyo na umuhimu sana mwisho.

Halafu wanafalsafa name wanasema hivi "ubusy" ni uongo wa kuhalalisha sababu kwanini hatuvipi vitu/watu fulani KIPAUMBELE.

ukichanganya hizo nadharia mbili nadhani utajua kwanini hupati hata good night text.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu maumivu yake hayaelezeki..unaweza jikuta uko depressed hivi hivi.
Mwanaume mwingine akikufuata unatamani umwambie uko single...lakini moyoni unaogopa hatia.
Wanajua sana kubembeleza ukiwaambia ukweli yani mpaka unalegea unarudi nyuma.lakini baada ya mda anaendelea vile vile nawe unarudi kulekule...hawa watu ni kiboko
Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeridhika na hiyo hali??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamtumia ujumbe WhatsApp asubuhi
Inaonyesha blue tick halafu haujajibiwa mpaka siku mbili
Ina maana kaweza kusoma salam mfano "mambo"
Ila hakua na mda wa kujibu poa...alikua bize..hahahaa
Huu ni ubize??
Yaani unakuta mtu anafanya dharau ukiuuliza anajitetea kwamba bizze hali ya kuwa ni dharau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…