Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Unakuta kimwanamke kisumbufu.umetoka mizungukoni umechoka.Unataka upumzike kanaongea na sim kijijini kwao saa nzima,kila saa kanakuamsha kanakusemesha,kanazima taa kanawasha,kisimu kinakelele kina ita kila saa,maswali ya kijingajinga,kiwashe tv sauti ya juu.Yaani hakana utulivu vurugu akajui kama kuna kuchoka halafu bahati mbaya siku hiyo ujapata mia umetoka kapa...nisamehe mama inanibidi tu nikaushie simu zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app