Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mafisaoo, wamejua kutuweza.!!
 
Loh....
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pole kwa kuwa na mwenza aliye bize muda wote, waingereza wanasema 'Busy Bee'. ushauri wangu ni kuwa kuwa namna nzuri ya ku' deal' naye ni kumuomba mtoke naye safari nje kabisa mbali na eneo analofanyia kazi/shughuli (aina ya likizo au 'Honeney moon'). Safari hiyo yaweza kuwa mbugani au mikoa ya mbali na mnapoishi/fanyia kazi zenu. Nakutakia utekelezaji mwema.
 
Inakera na kuumiza pia,
Hivi kwani inachukua miaka mingapi mtu kukuambia tu ukweli it's over ukapambane na maumivu yako mbele kwa mbele mpaka akufanyie kwanza visa na kukuumiza bila hatia.!!?
Tatizo mnaangalia upande mmoja, hamjui tu mnavyotupa wakati mgumu unamtongozs mwanamke mpaka maneno yanaisha yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…