Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mpenzi aliye "busy" siku zote

Halafu maumivu yake hayaelezeki..unaweza jikuta uko depressed hivi hivi.
Mwanaume mwingine akikufuata unatamani umwambie uko single...lakini moyoni unaogopa hatia.
Wanajua sana kubembeleza ukiwaambia ukweli yani mpaka unalegea unarudi nyuma.lakini baada ya mda anaendelea vile vile nawe unarudi kulekule...hawa watu ni kiboko

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafisaoo, wamejua kutuweza.!!
 
Loh....
Wachumi wana kitu wanakiita "SCALE OF PREFERENCE ". Wanasema hivi mwanadamu kwa kawaida ujitimizia yale mahitaji yenye umuhimu sana kwanza halafu yasiyo na umuhimu sana mwisho.

Halafu wanafalsafa name wanasema hivi "ubusy" ni uongo wa kuhalalisha sababu kwanini hatuvipi vitu/watu fulani KIPAUMBELE.


ukichanganya hizo nadharia mbili nadhani utajua kwanini hupati hata good night text.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unaweza kudate na mpenzi alie bize wiki nzima?

Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku..hata umtext hajibu,utapiga missed calls hata kumi simu haipokelewi..hata kusema yeye akupe "hi" wala hajisumbui!
Unajiuliza hali?hana mda wa kupumzika? Kwenda chooni?

Hata mda anapanda kitandani aguse simu akutext usiku mwema hana..ni jumatatu mpaka jumapili..asubuhi hadi usiku..usiku hadi asubuhi.

Hata Mungu mwenyewe alivoumba dunia alipumzika siku ya saba jamani...we ni kazi gani za ofisini za kukufanya hivi?

Ukitaka akutext inabidi umsumbue kwa maneno makali ulalamike wee ndo utaona akikujibu.

Basi akikujibu anabembeleza wee na msamaha anaomba..ila akaweka simu pembeni bado Yale Yale yanaendelea.

Unashindwa kuwa na quality time na mpenzi akitekwa na mwingine utasemaje?
Kama mpenzi tu hivi..utaweza kujenga familia?

Hivi mnadili vipi na wapenzi wa aina hii?

Pole kwa kuwa na mwenza aliye bize muda wote, waingereza wanasema 'Busy Bee'. ushauri wangu ni kuwa kuwa namna nzuri ya ku' deal' naye ni kumuomba mtoke naye safari nje kabisa mbali na eneo analofanyia kazi/shughuli (aina ya likizo au 'Honeney moon'). Safari hiyo yaweza kuwa mbugani au mikoa ya mbali na mnapoishi/fanyia kazi zenu. Nakutakia utekelezaji mwema.
 
Inakera na kuumiza pia,
Hivi kwani inachukua miaka mingapi mtu kukuambia tu ukweli it's over ukapambane na maumivu yako mbele kwa mbele mpaka akufanyie kwanza visa na kukuumiza bila hatia.!!?
Tatizo mnaangalia upande mmoja, hamjui tu mnavyotupa wakati mgumu unamtongozs mwanamke mpaka maneno yanaisha yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom