Mpenzi aliye "busy" siku zote

Mpenzi aliye "busy" siku zote

Dawa ya hao watu ni kuwachunia na wenyew me kuna kaka nae ananiletea mashauzi.ya kujitia yuko busy kuliko shetani nkasema hunijui weweee....wakati kuna wanaume washoka wananitaka nkapiga chini wala sina habari mm....huna habari na mm na mm cna habari na ww vilevile...yan nkikupigia usipokee ckutafuti ng'ooo

am better here
We kiboko...hahahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa ya hao watu ni kuwachunia na wenyew me kuna kaka nae ananiletea mashauzi.ya kujitia yuko busy kuliko shetani nkasema hunijui weweee....wakati kuna wanaume washoka wananitaka nkapiga chini wala sina habari mm....huna habari na mm na mm cna habari na ww vilevile...yan nkikupigia usipokee ckutafuti ng'ooo

am better here
Bado unaonekana una maumivu moyoni hapa umekuja kujifariji tuu, .... Kiburi hakisaidii kitu ... ... Wanawake mnatabia ya Ku act mko happy ila deep down mnaumia kwa maumivu makali

From profile picture to proper future
 
Mkuu maumivu yanini kwa mfano....cwezagi kumbembeleza mtu ambae hatambui thamani yangu kwake ndomana nikiona mizani inaegemea kwangu kuliko kwa mwenzangu najiwahi mapema...

am better here
 
Back
Top Bottom