Mpenzi kajilisha nyama ya kitimoto kinyume na Imani

👏
 
Mimi
Hebu ngoja kwanza, yaani unahifadhi wese la mdudu!!!

Halafu hilo wese limekarangiza wali, huo wali si utakuwa na ile shombo ya mdudu aisee
Mmi sikuskia shombo kabisa yaan labuda kwa mbali sna
 
Itakuwa wewe ni wale wanaume ambao hawajui kutunza sirii yani kiufupi hufai kuambiwa jambo kama hili tu unashindwa kuliacha lipite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…