Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

Mpenzi, Mume hapo baadaye anahitajika

Mtaani kwenu hakuna wanaume hadi unakuja kusaka wanaume anonymous mrembo.
Au nyie ndo sura ya baba.
 
Habari ya wakati huu!

Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.

Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu)

Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.

Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..

Usiku mwema wote🙏
mawasliano tafadhari
 
Tuma picha kwanza watu wakusaminishe wasije uziwa mbuzi kwenye kiroba.
 
Picha hapana for now, ila kama upo serious tutatumiana tukishafahamiana👏
Kilalakheri dada ukampate mwenye mapenzi ya kweli ili mkaanzishe familia iliyo bora, ila kuwa makini huko inbox mana wahuni ni wengi watakaokuja kwa gia ya ndoa kumbe ni hit and run.
 
Back
Top Bottom