Mpenzi wa Ben Pol ni binti tajiri Africa Mashariki

Hahahahaa Kazi Kweli kweli....Hongera Ben Pol kwa kuopoa Binti mtoto wa TAJIRI,Mtafute Dogo Janja akupe "PUTURU" ili utuwakilishe vizuri huko NAII.
 
Ile ilikuwa ni mpango wa biashara wa timamu tv kumpromote huyo dem kwahiy ben pol alilipwa ila alikamega kisela maisha yakaendelea
Kuku was kienyeji Ben Pol alimla vizr tu Tena kipindi kill kashamba alikafaidi
 
Kama demu ni mzuri af anapesa kukuzidi....atakupenda mwanzon ila mambo yakikaa kwenye equilibrium, lazima utaachwa tuu au utakuwa unapigiwa hadharani...maumivu ya hapo sasa...kiufup hawa huwa ni kujiatach kiaina....walishasema Usimwamini Mwanamke hata kama unamtania
 
Huyo demu hataweza kuja kuolewa na ben pol, Pen Pol hadi hapo alipo alitakiwa awe na miradi yake inayo eleweka kama diamond, huyo demu atakuwa anamtunza siku atamchoka atampiga chini
Unaambiwa toka 2016 demu anamuota Ben..huyo mtoto wa kitajiri na yeye anazo zake..sio wale "mabosslady" wadangaji teh teh teh
 
Asituangushe kama Dimpoz wenzake wakina Harmonize,AY,Kiba,Diamond,Hussein Machoz wanatuwakilisha vyema na kupeperusha bendera ys nchi yetu kikamilifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…