Mpenzi wa JF!!

Mapenzi ya keyboard yananoga sana. Angalia lizzy usije ukamsahau shemeji.
Naona watu wengi wanatangaza nia. Na mimi sijui nitangaze...!! Lol
 
Hahahaha hasahauliki mtu bwana!Raha yake hayana stress haya!Tangaza na wewe upate wako!
 
Mapenzi ya keyboard yananoga sana. Angalia lizzy usije ukamsahau shemeji.
Naona watu wengi wanatangaza nia. Na mimi sijui nitangaze...!! Lol

Tangaza tu dada labda uniondolee balaa la kutochaguliwa na lizzy.
 
Kwa hiyo kama umri si kigezo, waweza kunikubali mie? I em onle 56 yiaz old, single babu.

Umepotea sana mkuu tumemiss vichekesho vyako hapo kwenye umri niltaka ku-comment lakini kwakuwa umerekebisha mwenyewe sitasema kitu Nyamayao alishatueleza umri wako muda uliopita.
 
eeehhh, Lizzy's New year resolution wajameni.

PJ, huenda kwenye nyekundu anamaanisha hata nje ya PC labda waendelee kujuana ki JF na kuitana majina ya ki-JF bila kutafutana undani zaidi.
 
hilo suala la kuishia humu humu ndo limenishinda!
 
eeehhh, Lizzy's New year resolution wajameni.

PJ, huenda kwenye nyekundu anamaanisha hata nje ya PC labda waendelee kujuana ki JF na kuitana majina ya ki-JF bila kutafutana undani zaidi.

Haswaaa....yani mambo yaende ki-Great Thinker!!!
 
.................Lizzy bana, mbona unakuwa hivyo...nimekuomba msamaha kuwa sitarudia, lakini bado hutaki....nipe adhabu kuliko kuja JF kutaka mtu wa kukupunguzia stress....Sorry my Lizzy.............Baba Mkubwa
 
BM we ulitaka niendelee kusononeka tu????Tatizo lako huwezi kubadilika...kila siku ahadi tu!!!!
 
Mwandikie PM invisible wakubadilishie jina lisomeke Lizzy Masa!
 
Nakubeba mgongoni??au unamaanisha nini??maana sioni kazi ukuje mumy lizzy.
Kua na mimi???Si ulisema tuliohama nyumbani sio wife material??Au unataka kupita tu????:embarrassed:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…