Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Hahhahahahah....mchungaji kweli umeamua!!!!Unataka kupiga muhuri kabisa????
Si unajua huwa naweka wapi hizo chapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhahahahah....mchungaji kweli umeamua!!!!Unataka kupiga muhuri kabisa????
Mwandikie PM invisible wakubadilishie jina lisomeke Lizzy Masa!
Mchungaji, niachie huyu......siwezi shindana na wewe, nitashindwa tu....Lizzy, nimebadilika sasa...nitafanya uliyokuwa unaniambia kama kukuogesha, kukuimbia, kwenda sokoni, sitachakachua nje.....
We tumeshasema ai du ndo unaleta kipingamizi!!!
Asantee!Mmh embu niambie nizuie kabla haujaanza...ugomvi kati ya nani na nani Mzee?mmh.. mimi hapa nanusa harufu ya ugomvi tu huko mbeleni.. Lizzy na Masa hongereni.. hivi si inawezekana hadi kuchukuana kijumla jumla humu humu...?
Asantee!Mmh embu niambie nizuie kabla haujaanza...ugomvi kati ya nani na nani Mzee?
Tayari najiweka sambamba kwa mapambano. Kuna mtu atatoka na ngeu hapa sasa hivi!mmh.. mimi hapa nanusa harufu ya ugomvi tu huko mbeleni.. Lizzy na Masa hongereni.. hivi si inawezekana hadi kuchukuana kijumla jumla humu humu...?
Tayari najiweka sambamba kwa mapambano. Kuna mtu atatoka na ngeu hapa sasa hivi!
Natangaza nia
Hahaha!Mapambano wakati vita imeisha?Ulikua wapi muda wote?

Mpwa usisahau mzinga wangu wa Red label bila mm hapa usingefanikiwa naona tayari ni mama Mchungaji

Hongera sana Lizzy kwa kumpata mpwa wangu naamini ufalme wa mbingu unanukia moyoni mwako

Ufalme wa Mbingu ni kama maji ndani ya mtungini.
Kweli Fidel unastahili asante!!Lini unanafasi ukutane na baba mchungaji kwa kilaji?Mpwa usisahau mzinga wangu wa Red label bila mm hapa usingefanikiwa naona tayari ni mama Mchungaji
Hongera sana Lizzy kwa kumpata mpwa wangu naamini ufalme wa mbingu unanukia moyoni mwako