Mpenzi wa kiume anahitajika

Mpenzi wa kiume anahitajika

Gu Jumpyo

Member
Joined
Sep 11, 2014
Posts
15
Reaction score
4
Nina miaka 24, nina degree, ni miss miss. Natafuta mpenzi mwenye elimu, mtaarabu, asiwe mnene, awe na mapenzi ya kweli.

ni PM tafadhali.
 
Mimi elimu sina ila ninataaluma yangu unasemaje,sifa zote ninazo ila elimu ni yakawaida ya kufuta ujinga na ile ya kukujanjarusha baada ya hapo nimejiongeza nina ujuzi zaidi ya tatu umri 29.

Ni pm please.
 
Nina miaka 24, nina degree, ni miss miss. Natafuta mpenz mwenye elimu, mtaarabu, asiwe mnene, awe na mapenzi ya kweli.

ni PM tafadhali.

Ndio wewe tupo wote kwenye ile group kule...!.
 
Dunia, Dahhh. Tumefikia hivyo?? Mbona kazi, mwanaume kweli aku PM kwa kusoma tu vijisentenzi viwili bila hata picha. Sidhani ka Tz tumefikia hapo
 
Eti wanaume wa Ku pm, hivi mtaani kwako wameisha?! Alafu ndio kwanza una miaka 24.. au umekuja kisitti mtemvu..
 
Tafadhali kwa wanaume kuna watu humu JF Wanajifanya mademu kumbe ni wanaume 100%, naombeni kuweni wagalifu sana mimi yamenitokea humu humu ndani? na ukianza kuchati nao wanakutumia picha za kwenye google.

Nini kimekutokea tena…?
 
Mgegedeo shida si mnajua kwamba toka mwaka 1995 mpaka mwaka 2005 watoto wa kike wamezaliwa kwa asirimia 80 zaidi ya wa kiume
 
Acha kudanganya umma ww. hakuna uwiano huo popote duniani. hizo ni habari za kusadikika tu ambazo zinatumiwa na polygamists. zunguka pote duniani huwa ratio ni me:ke= 46-48%:52-54%
 
Mpenz anapatikana popote, huyohuyo wa mtaani ndo atakuwa jamii forum, kuna mwenye vigezo pia lakin yupo mbali, kwani ni nini maana ya love connect? inakuwaje mtu anatafta mpenz /rafiki af mwingine aanze kumpondea? we should think big sometimes.
 
Dunia, Dahhh. Tumefikia hivyo?? Mbona kazi, mwanaume kweli aku PM kwa kusoma tu vijisentenzi viwili bila hata picha. Sidhani ka Tz tumefikia hapo

Wewe unaona ajabu lakini yawezekana wameshajazana huko pm
 
Mpenz anapatikana popote, huyohuyo wa mtaani ndo atakuwa jamii forum, kuna mwenye vigezo pia lakin yupo mbali, kwani ni nini maana ya love connect? inakuwaje mtu anatafta mpenz /rafiki af mwingine aanze kumpondea? we should think big sometimes.

Kweli kabisa! usijali utampata tu mdada
 
Shy land upo sahihi huwa ni wanaume, sasa sijui wanapenda kugegedwa? Ama ni kutafuta hela?
 
Tafadhali kwa wanaume kuna watu humu JF Wanajifanya mademu kumbe ni wanaume 100%, naombeni kuweni wagalifu sana mimi yamenitokea humu humu ndani? na ukianza kuchati nao wanakutumia picha za kwenye google.

Pole mkuu kwa kunusurika...
 
Back
Top Bottom