Iko hivi in relationships, inatakiwa kabla ya yote muwe open kuhusu any health issue ambayo munaweza kuwa nayo, sijui kaa huyu binti alikuwa amemupa taarifa jamaa au nini, your advice ya kutofanya sex before marriage yaonekana wewe mleta mada unaijua tu in theory na sio in practice, bona hukumupa ushauri huo huyu roommate wako, sasa kaa binti angefariki si unaona lawama ingekuwa at some degrees kwako,kwanza ungekataa kumupisa huyu room mate umwambie its not okay what you want to do, its UNBIBILICAL, its SIN,kaa wewe ni mkristo nafikilia unajua ile maadiko whoever saves a soul is wise, next time act in a more mature and wise way, all the best, na musome, sisi wenye makamupuni tunategemea nyinyi tuwape ajira, sasa kaa kazi ni mapenzi mutasoma lini