Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Ameandika kianafunzi funzi.Umeandika habari ndefu kwa kitu ambacho ungeweza kufupisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameandika kianafunzi funzi.Umeandika habari ndefu kwa kitu ambacho ungeweza kufupisha.
Kikubwa tu kua mkweli, hakuna mahusiano matamu kama mtu kua mkweli na muwazi kwa kila mtu, yaani unaweza kujihisi mfalme/malkia fulani hivi wa visiwa vya Mapenzi.namkumbuka vio... wangu alikua na kichupa cha gas anatemebea nacho alikua ananiambia nikiona nimezidiwa nipulizie mdomoni
can i have your cv plsMm nishasoma nikagraduate.naomba kazi kwa kampun yako
hatorudia tena kakiri kutofanya hivyoAlafu na hawa askari wetu lazima wangekupiga murder case....
baada ya aka tano ndani ungeambiwa alaa kumbe dem alikuwa na pumu...
bora hakufa usirudie tena
poaaa poaaa kiongozi nshakusoma kesho tumeetTwende MJ mzee haaaaah
kuna wanafunzi wangapi hapa wenye hiyo shidaNa kwa mujib wa hint zako inajulikana ni mzumbe
pole sanaNilishawai kukosa tunda kwa ajiki ya hayo maperfume aisee. Nilipiga ya kushato kumbe mtoto na pumu aisee sikupata hasa kiss wala kumbatio aisee, nilijuta sana nikajifunza kua na kiasi kwenye kujipulizia hayo madude ni kero kwa wengine.
hakuwez kukosekana ,kama ilivokuwa kwenye hio hali. Lazima tukae jirani likitokea la kutokea tukatoe msaadaIla huko hostel hakna kuchoreshana? Hii hali inafanya wengine waone maisha ya hostel ni upuuzi na mzgo. Khaaaah
sawaSubiri kwanza.
Foreplay wakiwa na nguo za ndani.
Kwani walikuwa wanaplay na nini?
Hapo kwenye My Take hapo Acha wivu.
Mxxxiiieeeuu.
umekariri foreplay lazima muwe uchi kabisa, kama we unafanya hivyo wenzako hawafanyi kama wewe.Subiri kwanza.
Foreplay wakiwa na nguo za ndani.
Kwani walikuwa wanaplay na nini?
Hapo kwenye My Take hapo Acha wivu.
Mxxxiiieeeuu.
ahahaahhaAmeandika kianafunzi funzi.
Acha weeeee.umekariri foreplay lazima muwe uchi kabisa, kama we unafanya hivyo wenzako hawafanyi kama wewe.
Hahahaaa watoto wa uzumbeniHabarini za uzima wakuu, rejeaa mada husika hapo juu.
Kumekuwa na misemo mingi inayozungumzia athari za uzinzi ,mmojawapo ni "uzinzi gharama".
Masaa mawili au chini ya hapo Leo tarehe 30 05 2021, roommate wangu kakoswa koswa na balaa la kufiwa na mtoto wa mwenyewe room kwetu.
Ilikuwa majira ya saa 2 na dakika kadhaaa, roomate wangu akanambia , mzee kuna demu anakuja hapa.
Kama unavojua maisha ya chuo kupigana exile ni normal na uzuri room yetu ni watu 4 lakini wawili hawajaripoti , may be wameenda kukaa off campus hadi kipindi cha UE.
Basi muda umewadia jamaaa Kani alert ,oyaaa yuko nje anakuja ,...... kiroho safi nikatoka zangu huyohuyo mdogo mdogo niwaache na privacy yao.
Natoka nje nakutana na wadada wawili wametoka chukua msosi uswazi juu[emoji16][emoji16] (wanaojua wanajuaa namaanisha chuo gani hapa), wakaagana, mmoja wao akakatisha nlikotoka , mie kumbe nampimia tu anavoingia machinjioni ye asijue.
Huyo dada ni mfupi, kavaa mtandio kama sio ushungi na ni almost 22 hivi , certificate au diploma.
Basi wakati huo wote mie nlikuwa naongea na simu, nikisuruhisha kesi nyingine ya jamaa yangu nae , huyu jamaa yangu nae ni mtu wa mademu sana ,kampa mimba binti wa watu ,then baba wa binti kawaka kinoma. Anyway turud kwenye mada.
Nimekaa nje almost saa hivi nikijuaa jamaa anafanya mashambuliz kama Yale ya Man City dhidi ya Mendy, lakini kumbe hali ikawa ndivyo sivyo.
Nimekaa zangu nje pembeni ya room za majiran zetu nakuta jamaa anatoka na dada wawatu akiwa kichwa kainamia chini, LAKINI mdada anakohoaa [emoji38][emoji38] nkasema kashaliwa huyu tayari ,hapo kapulizia pafyumu ya jamaa hajaiozoea ndomana anakohoaaa ,huku akijipepeaa na kimtandio chake.
Wamekaaa basi nje wakipiga stori then jamaa akanipigia simu, ikaita nikajificha asione kuwa nlikuwa nawachora. Ile napokea simu jamaa anaongea sauti ya mtu mwenye hofu sana hadi nkashtuka then akanambia njoo ruum.
Nkabaki nashangaa njoo ruum mara moja wakat namuona pale basi namie nkaenda room, nakuta kitanda chake kimebonyea ,kikionesha kuna watu walikuwa wamekaa palee, nkacheki chini nakuta mate mate kama ya udende mie nikadhani ni ute ute wa genitals zao , siku mind nkaona anakuja room akiwa katokwa na mishipa na mwekundu usoni sabab jamaa ni mweupe haswa, alichonambia ndo hichi sasa
Based on what jamaa kaniambiaa, [emoji28][emoji28]wakat wanaendela na foreplay wapo na nguo za ndani tu ......... Hamadiii!!!! dada wa watu akaanza kupumuaa kwa shida , kadiri muda unavozidi akawa hawez hata kuongea kiurahisi ......... Jamaa kuona vile akapanic , ikabidi amauulize binti nini shidaa.
Binti anafunguka kuwa anapumu inamsumbuaa, jamaa akamuuliza kama anaweza kumpigia roomate wa huyo binti alete dawa, binti akagoma.
Wakati huo jamaa hapo ,mzigo ushanywea na ameshavaa nguo mapema anataka kukimbiaa, Bahati nzuri akili ikamcheza akamvalisha nguo chap mdada, wakatoka nje [emoji28][emoji28][emoji28] eti wapunge upepo wakat baridi na pumu havipatani.
Akaongeza zaidi kuwa kuna siku amelala naee usiku kucha lakini hakusumbuaa kitu.
My take:
Tuache okota okota watu hovyo, mtu hujajuana nae, hujui afya yake then unakuja kumleta gheto unapatwa na maswahibu kama hayo, Jamaa mwenyewe amesema alikuwa anataka amkimbie dada wa watu atoroke kabisa aniachie msala mie[emoji1][emoji1]
Japo nime participate kwenye kuhalalisha hili lakini sikuwa na namna, jamaa amesema anakomaa na Coursework tu saiv[emoji23][emoji23]
Lastly,tujitahidi tuache UZINZI na UASHERATI, Biblia katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana, maandilko yanasema .... Wazinzi, waabudio sanamu, waongo ..... hawata urithi ufalme wa mbinguni.
Uuuuwwiiiiiiii hiyo perfume ni utopolo haifai kabsaani kweli perfume yake ni Kali sana ,hata mwenyewe nikigongea huwa inakaa muda mrefu hadi itokee ,inaitwa the superman
Daaah aise we jamaa ni mukenya kabsaaIko hivi in relationships, inatakiwa kabla ya yote muwe open kuhusu any health issue ambayo munaweza kuwa nayo, sijui kaa huyu binti alikuwa amemupa taarifa jamaa au nini, your advice ya kutofanya sex before marriage yaonekana wewe mleta mada unaijua tu in theory na sio in practice, bona hukumupa ushauri huo huyu roommate wako, sasa kaa binti angefariki si unaona lawama ingekuwa at some degrees kwako,kwanza ungekataa kumupisa huyu room mate umwambie its not okay what you want to do, its UNBIBILICAL, its SIN,kaa wewe ni mkristo nafikilia unajua ile maadiko whoever saves a soul is wise, next time act in a more mature and wise way, all the best, na musome, sisi wenye makamupuni tunategemea nyinyi tuwape ajira, sasa kaa kazi ni mapenzi mutasoma lini
ahaaah Kwanza heshima yako mkuu. ShikamooAcha weeeee.
Basi itabidi mechi.zangu za ujanani zirudiweeee zirudiweeee
wanashida sana.Hahahaaa watoto wa uzumbeni
yaaaap inaharufu Kali sanaUuuuwwiiiiiiii hiyo perfume ni utopolo haifai kabsaa
Mwambie atupe choon hiyo kitu