The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
- Thread starter
-
- #21
Nikweli lakini wakati huyo dada anaenda kwa jamaa ,alienda kama kumsabahi tu ,mwishowe ndo wakafikia huko ,kwahiyo hakujiandaa na lolote nafikir issue za kuvua nguo kwa muda wakati wakiendelea na foreplay ilimfanya apate baridiPumu haibani ghafla bin vuu kama tumbo au kichwa
Kuna dalili fulani zikitokea unaweza kujua kwamba sasa nakaribia kubanwa , kwa sisi tunaohangaika na huo ugonjwa toka utotoni huwezi kuacha kuchukua hatua unapoona dalili za mwanzo
Lodge waweza ita mhudumu akakusaidia bila kukujudge.dah usiombe ukutane na dem anaepandisha mashetani, umcheze cheze papuchi apandishe utaona lodge pachungu.
Mkuu hivyo vitu vipo kabisa, tatizo sio kuokota okota kama inavyosema, bali ni kuwekana wazi tu na katika mahusiano.
Kwa ushuhuda nimeshawahi kua na mahusiano ma mwanamke mwenye matatizo makubwa ya moyo na nilienjoy maisha mpaka pale aliponiacha.pia hata mwanamke mwenye pumu tena huyu alikua wa moto sana, hadi nikawa tukiwa outings natembea na inhaler.
So kikubwa ni kuwekana wazi mwanzo wa mahusiano itawasaidia sana. Ukisema tuanze kuchunguzana sana itakua ni hatari kwani kuna watu wana changamoto zaidi ya magonjwa, lakini hata wao wanastahili kupendwa na kupenda.
Hahahaaa sawa kabisaLastly,tujitahidi tuache UZINZI na UASHERATI, Biblia katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana, maandilko yanasema .... Wazinzi, waabudio sanamu, waongo ..... hawata urithi ufalme wa mbinguni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu sasa hilo shetani liwe la kiume lol. Mbna utahaha kwa hilo varangati lake. Khaaaaah,dah usiombe ukutane na dem anaepandisha mashetani, umcheze cheze papuchi apandishe utaona lodge pachungu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mungu wangu wee, mbavu zinauma lol.niliwahi kukutana na mwanachuo mmoja dodoma mitaa ya CBE.
alipokuja hotelini kwangu wakati wa foreplay akijifanya kupandisha mashetani, nikasema hanijui huyu.
nikasokota ganja mbele yake yeye akiwa kalala kitandani akiongea lugha za kimaruhani ambazo sizielewi. nikala mjani wangu fresh. chumba chote kilijaa moshi wa ganja na harufu yake.
baada ya dikaka tatu nikaona katulia kimya ananikodolea macho, nikajua mashetani yameshasepa, yasingeweza kustahimili mazingira yale.
sikumkawiza, fasta nikaanza kumpelekea moto.....sitaki ujinga mimi.
Thank you, hata kaa siungi mkono kamwe sex before marriage lakini magojwa na mapungufu anayo kila mtu, hakuna asie na upungu wake , hakuna binadamu aliyekamilikaMagonjwa ni sehemu ya maisha ya mwanadamu kijana, ipo siku utajifunza kuhusu mapungufu ya watu wengine...
Mkuu labda huyo dada alipatwa na masahibu mengine , sio pumu!nikweli lakini wakati huyo dada anaenda kwa jamaa ,alienda kama kumsabahi tu ,mwishowe ndo wakafikia huko ,kwahiyo hakujiandaa na lolote nafikir issue za kuvua nguo kwa muda wakati wakiendelea na foreplay ilimfanya apate baridi
nimecheka kinomaaa mkuu, ni hizi zinazofata baada ya hioBila shaka hapo ni jumba la dhahabu Nyirenda
Kuna hiyoo nayoo imemkuta jamaa yangu, siku ntaiweka nayooodah usiombe ukutane na dem anaepandisha mashetani, umcheze cheze papuchi apandishe utaona lodge pachungu.
kwamba mashetani na ganjaa hazipandiiniliwahi kukutana na mwanachuo mmoja dodoma mitaa ya CBE.
alipokuja hotelini kwangu wakati wa foreplay akijifanya kupandisha mashetani, nikasema hanijui huyu.
nikasokota ganja mbele yake yeye akiwa kalala kitandani akiongea lugha za kimaruhani ambazo sizielewi. nikala mjani wangu fresh. chumba chote kilijaa moshi wa ganja na harufu yake.
baada ya dikaka tatu nikaona katulia kimya ananikodolea macho, nikajua mashetani yameshasepa, yasingeweza kustahimili mazingira yale.
sikumkawiza, fasta nikaanza kumpelekea moto.....sitaki ujinga mimi.
ikaishajeee hii caseLodge waweza ita mhudumu akakusaidia bila kukujudge.
Hii ilinikuta niko form three. Binti kapandishia mashetani sebuleni mi nikajifungia chumbani.
Hapo ana sare zake za shule.
ku save muda, gharama piaa.Ila huu mtindo wa wanachuo kupelekana kufanya mapenzi hostel ni uchafu na upuuzi wa kiwango cha juu, sijawahi kuelewa hawa wanaokubali hili suala wanalichukuliaje.
basi labdaa mdada hakujiandaaa kuliwa akafanya yake makusudiMkuu labda huyo dada alipatwa na masahibu mengine , sio pumu!
Athma inakupa nafasi ya kujipanga toka upate dalili kadhaa za kwanza
Mf mie kukiwa na mawingu halafu mvua isinyeshe lazima niondoke hilo eneo la sivyo nitabanwa
Asante sana kaka nimepata ushauri wako, ubarikiweIko hivi in relationships, inatakiwa kabla ya yote muwe open kuhusu any health issue ambayo munaweza kuwa nayo, sijui kaa huyu binti alikuwa amemupa taarifa jamaa au nini, your advice ya kutofanya sex before marriage yaonekana wewe mleta mada unaijua tu in theory na sio in practice, bona hukumupa ushauri huo huyu roommate wako, sasa kaa binti angefariki si unaona lawama ingekuwa at some degrees kwako,kwanza ungekataa kumupisa huyu room mate umwambie its not okay what you want to do, its UNBIBILICAL, its SIN,kaa wewe ni mkristo nafikilia unajua ile maadiko whoever saves a soul is wise, next time act in a more mature and wise way, all the best, na musome, sisi wenye makamupuni tunategemea nyinyi tuwape ajira, sasa kaa kazi ni mapenzi mutasoma lini