The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
- Thread starter
- #101
hapana ndugu, sio mimihii
Hii wewe kabisa hii, pole sana kijana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana ndugu, sio mimihii
Hii wewe kabisa hii, pole sana kijana.
yote yanaweza kuwa sahihi, ila pressure na kushindwa kupumua vizuri sijuiHilo lawezekama , japo nahisi pia anaweza kuwa alipatwa na kitu kingiine labda perssure
[emoji23][emoji23][emoji23]sawaaaPunguzeni kukopa k ,sabotage hiyo
pole sana, huku plan kukimbiaa kweli[emoji38][emoji38]Hilo balaa lilishanikumba Geust ya Kinondoni nilichukua rafiki wa demu wangu ambaye alikuwa mke wa polisi aisee kumbe pumu na joto ni vitu tofauti. Nikawa napiga nasikia mlio kama wa airbus fyuuuui fyuuuuuu nakoleza mtalimbooo eeh mara akasema nashindwa kupumua nikamtoa nje na shuka za geust akawa anapigwa na upepo.
Tatzo sio kuchoreshana, tatizo ni kufanyia uchafu hostel za chuo, huku wakiishi wanafunzi wa aina mbali mbali, hii tabia ni mbaya San, bahati nzuri sijawahi ishi hostel za chuo ningenyoosha hii tabia. Wallahhakuwez kukosekana ,kama ilivokuwa kwenye hio hali. Lazima tukae jirani likitokea la kutokea tukatoe msaada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Punguzeni kukopa k ,sabotage hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo balaa lilishanikumba Geust ya Kinondoni nilichukua rafiki wa demu wangu ambaye alikuwa mke wa polisi aisee kumbe pumu na joto ni vitu tofauti. Nikawa napiga nasikia mlio kama wa airbus fyuuuui fyuuuuuu nakoleza mtalimbooo eeh mara akasema nashindwa kupumua nikamtoa nje na shuka za geust akawa anapigwa na upepo.
Ushauri huu unajua wa kumpa.Habarini za uzima wakuu, rejeaa mada husika hapo juu.
Kumekuwa na misemo mingi inayozungumzia athari za uzinzi ,mmojawapo ni "uzinzi gharama".
Masaa mawili au chini ya hapo Leo tarehe 30 05 2021, roommate wangu kakoswa koswa na balaa la kufiwa na mtoto wa mwenyewe room kwetu.
Ilikuwa majira ya saa 2 na dakika kadhaaa, roomate wangu akanambia , mzee kuna demu anakuja hapa.
Kama unavojua maisha ya chuo kupigana exile ni normal na uzuri room yetu ni watu 4 lakini wawili hawajaripoti , may be wameenda kukaa off campus hadi kipindi cha UE.
Basi muda umewadia jamaaa Kani alert ,oyaaa yuko nje anakuja ,...... kiroho safi nikatoka zangu huyohuyo mdogo mdogo niwaache na privacy yao.
Natoka nje nakutana na wadada wawili wametoka chukua msosi uswazi juu[emoji16][emoji16] (wanaojua wanajuaa namaanisha chuo gani hapa), wakaagana, mmoja wao akakatisha nlikotoka , mie kumbe nampimia tu anavoingia machinjioni ye asijue.
Huyo dada ni mfupi, kavaa mtandio kama sio ushungi na ni almost 22 hivi , certificate au diploma.
Basi wakati huo wote mie nlikuwa naongea na simu, nikisuruhisha kesi nyingine ya jamaa yangu nae , huyu jamaa yangu nae ni mtu wa mademu sana ,kampa mimba binti wa watu ,then baba wa binti kawaka kinoma. Anyway turud kwenye mada.
Nimekaa nje almost saa hivi nikijuaa jamaa anafanya mashambuliz kama Yale ya Man City dhidi ya Mendy, lakini kumbe hali ikawa ndivyo sivyo.
Nimekaa zangu nje pembeni ya room za majiran zetu nakuta jamaa anatoka na dada wawatu akiwa kichwa kainamia chini, LAKINI mdada anakohoaa [emoji38][emoji38] nkasema kashaliwa huyu tayari ,hapo kapulizia pafyumu ya jamaa hajaiozoea ndomana anakohoaaa ,huku akijipepeaa na kimtandio chake.
Wamekaaa basi nje wakipiga stori then jamaa akanipigia simu, ikaita nikajificha asione kuwa nlikuwa nawachora. Ile napokea simu jamaa anaongea sauti ya mtu mwenye hofu sana hadi nkashtuka then akanambia njoo ruum.
Nkabaki nashangaa njoo ruum mara moja wakat namuona pale basi namie nkaenda room, nakuta kitanda chake kimebonyea ,kikionesha kuna watu walikuwa wamekaa palee, nkacheki chini nakuta mate mate kama ya udende mie nikadhani ni ute ute wa genitals zao , siku mind nkaona anakuja room akiwa katokwa na mishipa na mwekundu usoni sabab jamaa ni mweupe haswa, alichonambia ndo hichi sasa
Based on what jamaa kaniambiaa, [emoji28][emoji28]wakat wanaendela na foreplay wapo na nguo za ndani tu ......... Hamadiii!!!! dada wa watu akaanza kupumuaa kwa shida , kadiri muda unavozidi akawa hawez hata kuongea kiurahisi ......... Jamaa kuona vile akapanic , ikabidi amauulize binti nini shidaa.
Binti anafunguka kuwa anapumu inamsumbuaa, jamaa akamuuliza kama anaweza kumpigia roomate wa huyo binti alete dawa, binti akagoma.
Wakati huo jamaa hapo ,mzigo ushanywea na ameshavaa nguo mapema anataka kukimbiaa, Bahati nzuri akili ikamcheza akamvalisha nguo chap mdada, wakatoka nje [emoji28][emoji28][emoji28] eti wapunge upepo wakat baridi na pumu havipatani.
Akaongeza zaidi kuwa kuna siku amelala naee usiku kucha lakini hakusumbuaa kitu.
My take:
Tuache okota okota watu hovyo, mtu hujajuana nae, hujui afya yake then unakuja kumleta gheto unapatwa na maswahibu kama hayo, Jamaa mwenyewe amesema alikuwa anataka amkimbie dada wa watu atoroke kabisa aniachie msala mie[emoji1][emoji1]
Japo nime participate kwenye kuhalalisha hili lakini sikuwa na namna, jamaa amesema anakomaa na Coursework tu saiv[emoji23][emoji23]
Lastly,tujitahidi tuache UZINZI na UASHERATI, Biblia katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana, maandilko yanasema .... Wazinzi, waabudio sanamu, waongo ..... hawata urithi ufalme wa mbinguni.
ungenyoosha kwa namna gani labda[emoji28][emoji28] wenzako wanafatwa wanagongewa humo humo kwenye mapazia nawewe umekaa hapo unasikizia tuuTatzo sio kuchoreshana, tatizo ni kufanyia uchafu hostel za chuo, huku wakiishi wanafunzi wa aina mbali mbali, hii tabia ni mbaya San, bahati nzuri sijawahi ishi hostel za chuo ningenyoosha hii tabia. Wallah
na wote unatuhusu kwani wahanga ni wengi, huwezi jua labda nimeshampa[emoji4]Ushauri huu unajua wa kumpa.
sijasema hivyoo, lahashaa, tatizo letu wakristo mtu akitukumbusha Jambo tunamuona kama ni too religious ,I don't know kama we ni christian , [emoji16][emoji16]Tuanzie kwanza kwenye huo mstari wa mwisho hapo. Kwamba ufalme wa mbinguni utaurithi wewe?
ahahaa mkuu , mtu mzito.Mkuu ka ma ni Makumira apo basi hilo ni li x langu fulani limbulu khumamame, mweupe anamavinyweleo kama sokwe, mtamuuu, anapendelea chupi nyeupe, akiwa anakojoa anapiga ukunga
hahahahah sawa sawa mkuu, karibu sana nina mengi ya kushare na wana jf wenzangu, tatizo mudaHapo umekosea kidogo. Hakuna mtu anapenda kuwa na shida kama hiyo. Boresha labda tuache kuchukua watu tusio jua abc zao. By the way mm n fans wa story zakoo [emoji28]