Mpenzi wa rafiki yangu kabanwa na pumu akiwa chumbani kwa jamaa

Mpenzi wa rafiki yangu kabanwa na pumu akiwa chumbani kwa jamaa

Natoka nje nakutana na wadada wawili wametoka chukua msosi uswazi juu[emoji16][emoji16]

Umenikumbusha hayo maeneo ya mzumbe nilipo kua natoka SUA kuja kwa dem Wang huko

Popote ulipo mage una sehem yako mbinguni
 
Hilo lawezekama , japo nahisi pia anaweza kuwa alipatwa na kitu kingiine labda perssure
yote yanaweza kuwa sahihi, ila pressure na kushindwa kupumua vizuri sijui
 
Hilo balaa lilishanikumba Geust ya Kinondoni nilichukua rafiki wa demu wangu ambaye alikuwa mke wa polisi aisee kumbe pumu na joto ni vitu tofauti. Nikawa napiga nasikia mlio kama wa airbus fyuuuui fyuuuuuu nakoleza mtalimbooo eeh mara akasema nashindwa kupumua nikamtoa nje na shuka za geust akawa anapigwa na upepo.
 
pole sana, huku plan kukimbiaa kweli[emoji38][emoji38]
 
hakuwez kukosekana ,kama ilivokuwa kwenye hio hali. Lazima tukae jirani likitokea la kutokea tukatoe msaada
Tatzo sio kuchoreshana, tatizo ni kufanyia uchafu hostel za chuo, huku wakiishi wanafunzi wa aina mbali mbali, hii tabia ni mbaya San, bahati nzuri sijawahi ishi hostel za chuo ningenyoosha hii tabia. Wallah
 
Hilo balaa lilishanikumba Geust ya Kinondoni nilichukua rafiki wa demu wangu ambaye alikuwa mke wa polisi aisee kumbe pumu na joto ni vitu tofauti. Nikawa napiga nasikia mlio kama wa airbus fyuuuui fyuuuuuu nakoleza mtalimbooo eeh mara akasema nashindwa kupumua nikamtoa nje na shuka za geust akawa anapigwa na upepo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habarini za uzima wakuu, rejeaa mada husika hapo juu.

Kumekuwa na misemo mingi inayozungumzia athari za uzinzi ,mmojawapo ni "uzinzi gharama".

Masaa mawili au chini ya hapo Leo tarehe 30 05 2021, roommate wangu kakoswa koswa na balaa la kufiwa na mtoto wa mwenyewe room kwetu.

Ilikuwa majira ya saa 2 na dakika kadhaaa, roomate wangu akanambia , mzee kuna demu anakuja hapa.

Kama unavojua maisha ya chuo kupigana exile ni normal na uzuri room yetu ni watu 4 lakini wawili hawajaripoti , may be wameenda kukaa off campus hadi kipindi cha UE.

Basi muda umewadia jamaaa Kani alert ,oyaaa yuko nje anakuja ,...... kiroho safi nikatoka zangu huyohuyo mdogo mdogo niwaache na privacy yao.

Natoka nje nakutana na wadada wawili wametoka chukua msosi uswazi juu[emoji16][emoji16] (wanaojua wanajuaa namaanisha chuo gani hapa), wakaagana, mmoja wao akakatisha nlikotoka , mie kumbe nampimia tu anavoingia machinjioni ye asijue.

Huyo dada ni mfupi, kavaa mtandio kama sio ushungi na ni almost 22 hivi , certificate au diploma.

Basi wakati huo wote mie nlikuwa naongea na simu, nikisuruhisha kesi nyingine ya jamaa yangu nae , huyu jamaa yangu nae ni mtu wa mademu sana ,kampa mimba binti wa watu ,then baba wa binti kawaka kinoma. Anyway turud kwenye mada.

Nimekaa nje almost saa hivi nikijuaa jamaa anafanya mashambuliz kama Yale ya Man City dhidi ya Mendy, lakini kumbe hali ikawa ndivyo sivyo.

Nimekaa zangu nje pembeni ya room za majiran zetu nakuta jamaa anatoka na dada wawatu akiwa kichwa kainamia chini, LAKINI mdada anakohoaa [emoji38][emoji38] nkasema kashaliwa huyu tayari ,hapo kapulizia pafyumu ya jamaa hajaiozoea ndomana anakohoaaa ,huku akijipepeaa na kimtandio chake.

Wamekaaa basi nje wakipiga stori then jamaa akanipigia simu, ikaita nikajificha asione kuwa nlikuwa nawachora. Ile napokea simu jamaa anaongea sauti ya mtu mwenye hofu sana hadi nkashtuka then akanambia njoo ruum.

Nkabaki nashangaa njoo ruum mara moja wakat namuona pale basi namie nkaenda room, nakuta kitanda chake kimebonyea ,kikionesha kuna watu walikuwa wamekaa palee, nkacheki chini nakuta mate mate kama ya udende mie nikadhani ni ute ute wa genitals zao , siku mind nkaona anakuja room akiwa katokwa na mishipa na mwekundu usoni sabab jamaa ni mweupe haswa, alichonambia ndo hichi sasa

Based on what jamaa kaniambiaa, [emoji28][emoji28]wakat wanaendela na foreplay wapo na nguo za ndani tu ......... Hamadiii!!!! dada wa watu akaanza kupumuaa kwa shida , kadiri muda unavozidi akawa hawez hata kuongea kiurahisi ......... Jamaa kuona vile akapanic , ikabidi amauulize binti nini shidaa.

Binti anafunguka kuwa anapumu inamsumbuaa, jamaa akamuuliza kama anaweza kumpigia roomate wa huyo binti alete dawa, binti akagoma.

Wakati huo jamaa hapo ,mzigo ushanywea na ameshavaa nguo mapema anataka kukimbiaa, Bahati nzuri akili ikamcheza akamvalisha nguo chap mdada, wakatoka nje [emoji28][emoji28][emoji28] eti wapunge upepo wakat baridi na pumu havipatani.

Akaongeza zaidi kuwa kuna siku amelala naee usiku kucha lakini hakusumbuaa kitu.

My take:
Tuache okota okota watu hovyo, mtu hujajuana nae, hujui afya yake then unakuja kumleta gheto unapatwa na maswahibu kama hayo, Jamaa mwenyewe amesema alikuwa anataka amkimbie dada wa watu atoroke kabisa aniachie msala mie[emoji1][emoji1]

Japo nime participate kwenye kuhalalisha hili lakini sikuwa na namna, jamaa amesema anakomaa na Coursework tu saiv[emoji23][emoji23]

Lastly,tujitahidi tuache UZINZI na UASHERATI, Biblia katika kitabu cha Ufunuo wa Yohana, maandilko yanasema .... Wazinzi, waabudio sanamu, waongo ..... hawata urithi ufalme wa mbinguni.
Ushauri huu unajua wa kumpa.
 
Tuanzie kwanza kwenye huo mstari wa mwisho hapo. Kwamba ufalme wa mbinguni utaurithi wewe?
 
Mkuu ka ma ni Makumira apo basi hilo ni li x langu fulani limbulu khumamame, mweupe anamavinyweleo kama sokwe, mtamuuu, anapendelea chupi nyeupe, akiwa anakojoa anapiga ukunga
 
Tatzo sio kuchoreshana, tatizo ni kufanyia uchafu hostel za chuo, huku wakiishi wanafunzi wa aina mbali mbali, hii tabia ni mbaya San, bahati nzuri sijawahi ishi hostel za chuo ningenyoosha hii tabia. Wallah
ungenyoosha kwa namna gani labda[emoji28][emoji28] wenzako wanafatwa wanagongewa humo humo kwenye mapazia nawewe umekaa hapo unasikizia tuu
 
Tuanzie kwanza kwenye huo mstari wa mwisho hapo. Kwamba ufalme wa mbinguni utaurithi wewe?
sijasema hivyoo, lahashaa, tatizo letu wakristo mtu akitukumbusha Jambo tunamuona kama ni too religious ,I don't know kama we ni christian , [emoji16][emoji16]
 
Mkuu ka ma ni Makumira apo basi hilo ni li x langu fulani limbulu khumamame, mweupe anamavinyweleo kama sokwe, mtamuuu, anapendelea chupi nyeupe, akiwa anakojoa anapiga ukunga
ahahaa mkuu , mtu mzito.
huyo dada sio wa makumiraa, huyo wa makumira bado hajajaa kwenye angs zetu
 
Hapo umekosea kidogo. Hakuna mtu anapenda kuwa na shida kama hiyo. Boresha labda tuache kuchukua watu tusio jua abc zao. By the way mm n fans wa story zakoo 😅
 
Hapo umekosea kidogo. Hakuna mtu anapenda kuwa na shida kama hiyo. Boresha labda tuache kuchukua watu tusio jua abc zao. By the way mm n fans wa story zakoo [emoji28]
hahahahah sawa sawa mkuu, karibu sana nina mengi ya kushare na wana jf wenzangu, tatizo muda
 
Back
Top Bottom