Ukiwa na hela..huyu kama mdada mwenye umri.wa miaka 33 kumbe ana umri wa 47
Ukiwa na hela..huyu kama mdada mwenye umri.wa miaka 33 kumbe ana umri wa 47
Akiwa na watoto wa kuwazaa..quins didy ilibidi am adopt..yaani diddy alikuta akiwa na mtoto mmoja
Diddy kazaa naye watoto watatu.Chrstian Combs na hao mabint mapicha
Nakumbuka BET HipHop award 2006 ilikuwa ni couple iliyotajwa na kupendeza..RIP KPView attachment 935810
Death happened, babe..
Muangalie orprah alivyo sasa hivi anaonekana mdogo na sura ya kisichana ukilinganisha alivyokuwa 30 yrs ago. Pia muangalie tony braxton. Ila pia ni kulinga na genes za mtu hata ukienda under the knife na huna genes nzuri utakongoroka tu kama michael jackson. Mjane wa elvis presley alikuwa tishio enz za ujana wake lakini sasa hivi ukimuona licha ya maplastic surgery anatisha
upogooJamani what happened to Kim?!
Ana kamwili kazuri balaa.