Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Aseh!, yaani Naomi ana date bilioneas tu..

Nakumbuka wakati career yake iko at the peak. Alikuwa ana demand dau la uhakika kufanya catwalk. Alikuwa akiitiwa kazi, hatoki kitandani bila $15,000 per session.
15,000 kibongobongo 33m pensheni ya mtumishi
 
Serena anapesa akienda kudate na tajiri watasumbuana akili.
 
Sio kwamba ni mbaya hapana hata mwenyewe namtamani (japo najua hawez kunikubali) maana hela yangu ya mawazo sana. Ikitokea bahati namkamua vizuri tu na mibangi yake.
Eti na mibangi yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aseh!, yaani Naomi ana date bilioneas tu..

Nakumbuka wakati career yake iko at the peak. Alikuwa ana demand dau la uhakika kufanya catwalk. Alikuwa akiitiwa kazi, hatoki kitandani bila $15,000 per session.
Duuuh...hela ndefuu sana!...japokuwa anapenda batazz but ana kichwa kwa kuinvest!

Ana mali kibaoo
 
Jamaa hazeeki aseh!




Misa made me tear up! [emoji20][emoji19][emoji22]

β€œI promise to love and protect Quincy, Chris, D’lila and Jessie. I will always be here for them. Rest in Power Beautiful Queen,”
Maskini[emoji22] ....Misa ana utu basi!

Ila yy ajililee mtoto wake huyo Justin, Diddy hamuwezi yule, bado hajatulia kabisa!
 
Kumbe na yeye kama Diddy. Basi kutulizana itakuwa kazi..
Wamama wasiokuwa hao....wanakula ujana!

Yaan diddy angemuoa Cassie maskini au masharti huyu jamaa? Hivi kwanini haoi?[emoji15] [emoji72]
 
Wamama wasiokuwa hao....wanakula ujana!

Yaan diddy angemuoa Cassie maskini au masharti huyu jamaa? Hivi kwanini haoi?[emoji15] [emoji72]


Cha kushangaza sasa, wenzake wenye high profile in the industry kama Jigga, Will, wameoa na kutulizwa. Ingawa mshikeshike lakini hao na 'FULL' families zao.
Sa huyu jamaa labda haamini sana katika ndoa anaona kuwa na watoto tu poa.

Nakumbuka majuzi hapa wakati Will Smith anaongelea familia yake, aligusia kuhusu challenges walizopata na Jada kwenye ndoa, lakini akasema kutaka ku solve issues zao, of all options, divorce was not one of them. Hakutaka kabisa ndoa yake ivunjike.

Akasema ambavyo ameshakua divorced once, hakutaka kuwa divorced tena na kuanza moja. Sasa Diddy sijui hata ana wazo la ku settle..
 
Mmmh...Basi Will kichwa, japo Jada yale malezi aliyowapa hawa watoto sio kabisa!.... Willow jamani at that age kuwa lesb or jaden kuwa gay?!....anyway majuu wanaona kawaida labda!

Diddy hataki habari za ndoa....labda uzeeni huko akibarikiwa kufika ataoa!
 


Hahah!, yaani aoe uzeeni...πŸ˜€
Lakini hawa Celebrities baadhi yao ndio zao hizi, wanakula ujana kwanza halafu kutulia baadae. And long as there's money, lazima wanapata mtu.
Hawa watoto wa Jada mie huwa naona kama kiki zinawasumbua eti..
Hivi Willow alishaonekana na mtu?!
 


Jada lakini ananifurahisha sana relationship yake na Sheree Z. Utafikiri sio Ex wa mumewe.
Juzi ilikuwa Birthday ya Sheree Jada akam wish vizuri basi sio kusifiwa huko..

And you can tell it was genuine.
Ingawa mwanzo wanasema ilikuwa rough lakini juzi Jada aka confess kwa Sheree kuwa hakufanya vizuri kum date Will right after his divorce cos haikuwa sawa kwa hao wawili.
Lakini sasa wako poa wenyewe eti mpaka huwa wanaenda vacation pamoja, as a family.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…