Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Hahah!, halafu mie nilijua ni sisi tu wabongo tunajua kuchambana. Hatimae jamaa kajitokeza ku pay tribute lakini vichambo anavyopata, wanasema alimuumiza Kim kwenda na Cassie. Hawampi hata nafasi ya ku mourn.

View attachment 939712
Halafu inawezekana tu msongo wa mawazo umemuua Kim!... Mtu anakuzalia watoto wote hao bado hutaki kuishi nae ndo kwanza unaenda kwa wachuchu!.... It pain kweli, na umri huo ulikuwa ukiyoyoma!

Diddy nae kachangia haliepuki hili!
 
Tofauti p.Diddy na Domo ni kuwa Chai Jaba kamwagwa na kimsingi kayumba haswa
 
Asubuuuutuuu!....bwanaake huyo tena diddy alivomwagana na Jlo, ndo wakabebana! walivokorofishana ndo Naomi akaanza kukinukisha kuwa ndo maana hata Jlo kammwaga jamaa hamna kitu!...akasema jamani Diddy ana kadudu kadogo hakuna mfano![emoji15] ....sasa ule mwili wa Diddy alivo kaenda hewani daaah!

😁😂😂
Mbona afadhali kajitafutia madolali.
At least yana cover palipopungua. Mpaka wakina Cassie wenyewe wanaenda na kurudi.

Halafu Naomi na Diddy naona kama vile wanaendana. Cos mmoja bachelor wa nguvu, na mwingine bachelorette wa nguvu.
Naomi nae sijui ilikuwaje akaachana na yule bilionea wake Mrusi.
 
Halafu inawezekana tu msongo wa mawazo umemuua Kim!... Mtu anakuzalia watoto wote hao bado hutaki kuishi nae ndo kwanza unaenda kwa wachuchu!.... It pain kweli, na umri huo ulikuwa ukiyoyoma!

Diddy nae kachangia haliepuki hili!

Kim amesikitisha watu wengi. Na alivyoacha watoto ndo kabisa. Watakuwa bila mama.
Yaani shangaa sasa, hakuweza hata ku settle na mtu baada ya Diddy. Kama ndio kweli alikuwa na stress kiasi hicho, halafu hana mtu wa karibu, halafu baby daddy mwenyewe ndo Diddy suruali mikononi..
Apumzike kwa Amani kwa kweli.
 
Najiuliza P.diddy ilikuaje akaangukia kwa shangazi yake? Maana umri wamepishana sana (kama ni hela pdiddy anazo pia au ndumba? Moze kwa Anti inaeleweka Maana dogo choka mbaya hivyo hana ujanja lazima atulie alelewe
 
Shangazi yake unamaanisha...Kim?!
Kama ni Kim na Diddy, Diddy mkubwa kidogo kwa Kim. Think he's pushing 50 too.
 
Shangazi yake unamaanisha...Kim?!
Kama ni Kim na Diddy, Diddy mkubwa kidogo kwa Kim. Think he's pushing 50.
Duuh sikujua hilo nikajua p.diddy mdogo kama diamond. Basi nafasi ipo wazi kwa Hamissa (pugi) kupiga jaramba ampate p.Diddy maisha yaendelee
 
[emoji16][emoji23][emoji23]
Mbona afadhali kajitafutia madolali.
At least yana cover palipopungua. Mpaka wakina Cassie wenyewe wanaenda na kurudi.

Halafu Naomi na Diddy naona kama vile wanaendana. Cos mmoja bachelor wa nguvu, na mwingine bachelorette wa nguvu.
Naomi nae sijui ilikuwaje akaachana na yule bilionea wake Mrusi.
Ahhh ukiwa na mapesa kidole gumba kinageuka kuwa hogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Naomi hatulii kwenye mahusiano sijui kwanini?...yule mrusi alimmwaga coz Naomi mpenda bata na kulala nje....mzee wa watu akasepa!

Siku hizi kampata mbabu Louis Camillieri billionaire la kufa mtu, CEO la Ferrari na Altria group,....sema Naomi huwa hadate na maskini kama Serena Williams[emoji126]
 
Kim amesikitisha watu wengi. Na alivyoacha watoto ndo kabisa. Watakuwa bila mama.
Yaani shangaa sasa, hakuweza hata ku settle na mtu baada ya Diddy. Kama ndio kweli alikuwa na stress kiasi hicho, halafu hana mtu wa karibu, halafu baby daddy mwenyewe ndo Diddy suruali mikononi..
Apumzike kwa Amani kwa kweli.
Kamfanyaga mwenzake incubator sio vizuri![emoji22]

KP alimpenda sana Diddy ndo maana alikubali kujizeekea bila partner!...yule jamaa hawezi kutulia kamwe!...na kweli bora kp kajipumzikia tu!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kanichekesha huyo jamaa...hajui diddy mzee anadata na baby face yake!
Mbele inaelekea hakuna jua kama bongo fikiria Tanzania sweetheart hajafika hata 31 lakini nyama zishaorojeka kama zote na hapo bado ana ndoto za kuolewa aisee
 
Diddy ananiachaga hoi na lifestyle yake ya 'blended family'.Huwa najiulizaga kwann haoi but one thing is for sure,anaipenda familia yake.Ana upendo mnoo hasa kwa watoto wake.He is such a responsible dad!!Kazi ipo kwa wanawake anaodate kama wanategemea ndoa.
 
Cassie kajirudisha!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kanichekesha huyo jamaa...hajui diddy mzee anadata na baby face yake!

Jamaa hazeeki aseh!

Kamfanyaga mwenzake incubator sio vizuri![emoji22]
KP alimpenda sana Diddy ndo maana alikubali kujizeekea bila partner!...yule jamaa hawezi kutulia kamwe!...na kweli bora kp kajipumzikia tu!

Misa made me tear up! 😞😒😢

“I promise to love and protect Quincy, Chris, D’lila and Jessie. I will always be here for them. Rest in Power Beautiful Queen,”
 
..Naomi hatulii kwenye mahusiano sijui kwanini?...yule mrusi alimmwaga coz Naomi mpenda bata na kulala nje....mzee wa watu akasepa!

Siku hizi kampata mbabu Louis Camillieri billionaire la kufa mtu, CEO la Ferrari na Altria group,....sema Naomi huwa hadate na maskini kama Serena Williams[emoji126]

Aseh!, yaani Naomi ana date bilioneas tu..

Nakumbuka wakati career yake iko at the peak. Alikuwa ana demand dau la uhakika kufanya catwalk. Alikuwa akiitiwa kazi, hatoki kitandani bila $15,000 per session.
 
Ataolewa mkuu...mpangaji ni Mungu
Sio kwamba ni mbaya hapana hata mwenyewe namtamani (japo najua hawez kunikubali) maana hela yangu ya mawazo sana. Ikitokea bahati namkamua vizuri tu na mibangi yake.
 
Back
Top Bottom