Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Katika Mademu wa Puffy Daddy Huyu ndio niliomuelewa sana Misa Hylton Brim.
PuffyDaddy.jpg

Justin Dior Combs.jpg
 
Diddy ana roho nzuri mnoo....watu wake wa karibu wanamsifia sana! Na itakuwa yuko humble sana....sema umalaya sasa! Yaan hapo kwenye kidudu chake ndo kuna tatizo[emoji23]
Ukiwa na fedha na kama Demu wako naye hasipokuchunga(akikuchukulia poa,hakufatilii,hasipochunga mzigo wake) aisee utatembeza rungu kama comrade kipepe,ukiwa na fedha mda wote unasikia mwanza mwanza nyegezi dudu linawasha.
 
Haaahaaaa[emoji23] [emoji23]
 
Diddy ana roho nzuri mnoo....watu wake wa karibu wanamsifia sana! Na itakuwa yuko humble sana....sema umalaya sasa! Yaan hapo kwenye kidudu chake ndo kuna tatizo[emoji23]

Hapo mwisho sasa! 😀

Labda sasa atatulia, akijua yuko mwenyewe tu na watoto bila mama yao.
Tho it's too late..
 
na alikutana na Didy akiwa na 23, na mtoto wake wa kwanza Christian alimzaa akiwa na umri wa miaka 26 (Miaka mitatu badae) na akiwa na miaka 35, alipata watto mapacha wenye umri wa miaka 11 sasa

Haya mahesabu nimepiga mwenyewe baada ya details zke hapo juu

Mtoto wake wa kwanza ni Quincy Brown ambae sasa yuko 27yrs. old
Alimzaa na Al B Sure.
Huyu wa left, halafu ndo anafata Christian wa right.

gettyimages-459766452-1024x1024.jpg
 
Naona ndugu yenu Diddy is "Shocked and Devastated" according to news.
Sijui atatulia sasa?!
These guys ended their romance but they were still a good family..

Msiba hupita. Atatulia akiweza kum-tame shetani wake wa kipururu tu na si vinginevyo!
 
Hapo mwisho sasa! 😀

Labda sasa atatulia, akijua yuko mwenyewe tu na watoto bila mama yao.
Tho it's too late..
Mmmh....atulie wapi yule, babies mama zake watatu wamebaki na wanapasha viporo kwa kwenda mbele!...Cassie kasepa ila atarudi tu, kile kidemu yuko nacho siku hizi kilichomfanya Cassie akakimbia!

Ila Diddy anakitombesha si kitoto,.... hao tu ndo tunaowajua ambao hatuwajui jee?...yaan yule ni Senior bachelor wa ukwe'e[emoji12]
 
Kwenye video ya notorious big popa pale yupo kwenye jacuzi anacheza na puffy na kalivyokuwa shombe na kateketeke kalinifanya niipende sana hilo song,ndio kwanza kalikuwa kanaitafuta 18.
Mmmmh...mi hata simjui, nimemjua baada ya kuwafatilia watoto wa diddy
 
Back
Top Bottom