King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Katika Mademu wa Puffy Daddy Huyu ndio niliomuelewa sana Misa Hylton Brim.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na fedha na kama Demu wako naye hasipokuchunga(akikuchukulia poa,hakufatilii,hasipochunga mzigo wake) aisee utatembeza rungu kama comrade kipepe,ukiwa na fedha mda wote unasikia mwanza mwanza nyegezi dudu linawasha.Diddy ana roho nzuri mnoo....watu wake wa karibu wanamsifia sana! Na itakuwa yuko humble sana....sema umalaya sasa! Yaan hapo kwenye kidudu chake ndo kuna tatizo[emoji23]
Yes QuincyAna mtt mwingine tena kabla ya huyo
Unamaanisha nin?Diddy akikutaka utachomoa bila shaka
Unampenda Misa??...why?Katika Mademu wa Puffy Daddy Huyu ndio niliomuelewa sana Misa Hylton Brim.
View attachment 936783
View attachment 936784
Haaahaaaa[emoji23] [emoji23]Ukiwa na fedha na kama Demu wako naye hasipokuchunga(akikuchukulia poa,hakufatilii,hasipochunga mzigo wake) aisee utatembeza rungu kama comrade kipepe,ukiwa na fedha mda wote unasikia mwanza mwanza nyegezi dudu linawasha.
Kama cha Mama Dangote (sio yule wa Nigeria).Ana kamwili kazuri balaa.
Kwenye video ya notorious big popa pale yupo kwenye jacuzi anacheza na puffy na kalivyokuwa shombe na kateketeke kalinifanya niipende sana hilo song,ndio kwanza kalikuwa kanaitafuta 18.Unampenda Misa??...why?
Diddy ana roho nzuri mnoo....watu wake wa karibu wanamsifia sana! Na itakuwa yuko humble sana....sema umalaya sasa! Yaan hapo kwenye kidudu chake ndo kuna tatizo[emoji23]
Nikiwa mkubwa nataka niwe hiviii jamani 🙁🙁🙁🙁🙁
na alikutana na Didy akiwa na 23, na mtoto wake wa kwanza Christian alimzaa akiwa na umri wa miaka 26 (Miaka mitatu badae) na akiwa na miaka 35, alipata watto mapacha wenye umri wa miaka 11 sasa
Haya mahesabu nimepiga mwenyewe baada ya details zke hapo juu
Hata wewe umri umeenda ila si haba. Bado unaita!
Hata wewe umri umeenda ila si haba. Bado unaita!
These guys ended their romance but they were still a good family..Naona ndugu yenu Diddy is "Shocked and Devastated" according to news.
Sijui atatulia sasa?!
These guys ended their romance but they were still a good family..
Msiba hupita. Atatulia akiweza kum-tame shetani wake wa kipururu tu na si vinginevyo!
Mmmh....atulie wapi yule, babies mama zake watatu wamebaki na wanapasha viporo kwa kwenda mbele!...Cassie kasepa ila atarudi tu, kile kidemu yuko nacho siku hizi kilichomfanya Cassie akakimbia!Hapo mwisho sasa! 😀
Labda sasa atatulia, akijua yuko mwenyewe tu na watoto bila mama yao.
Tho it's too late..
Mmmmh...mi hata simjui, nimemjua baada ya kuwafatilia watoto wa diddyKwenye video ya notorious big popa pale yupo kwenye jacuzi anacheza na puffy na kalivyokuwa shombe na kateketeke kalinifanya niipende sana hilo song,ndio kwanza kalikuwa kanaitafuta 18.