and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Kikubwa utyeleziUkiwa na hela..huyu kama mdada mwenye umri.wa miaka 33 kumbe ana umri wa 47
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa utyeleziUkiwa na hela..huyu kama mdada mwenye umri.wa miaka 33 kumbe ana umri wa 47
Halafu inawezekana tu msongo wa mawazo umemuua Kim!... Mtu anakuzalia watoto wote hao bado hutaki kuishi nae ndo kwanza unaenda kwa wachuchu!.... It pain kweli, na umri huo ulikuwa ukiyoyoma!Hahah!, halafu mie nilijua ni sisi tu wabongo tunajua kuchambana. Hatimae jamaa kajitokeza ku pay tribute lakini vichambo anavyopata, wanasema alimuumiza Kim kwenda na Cassie. Hawampi hata nafasi ya ku mourn.
View attachment 939712
Tofauti p.Diddy na Domo ni kuwa Chai Jaba kamwagwa na kimsingi kayumba haswaHalafu inawezekana tu msongo wa mawazo umemuua Kim!... Mtu anakuzalia watoto wote hao bado hutaki kuishi nae ndo kwanza unaenda kwa wachuchu!.... It pain kweli, na umri huo ulikuwa ukiyoyoma!
Diddy nae kachangia haliepuki hili!
Asubuuuutuuu!....bwanaake huyo tena diddy alivomwagana na Jlo, ndo wakabebana! walivokorofishana ndo Naomi akaanza kukinukisha kuwa ndo maana hata Jlo kammwaga jamaa hamna kitu!...akasema jamani Diddy ana kadudu kadogo hakuna mfano![emoji15] ....sasa ule mwili wa Diddy alivo kaenda hewani daaah!
Halafu inawezekana tu msongo wa mawazo umemuua Kim!... Mtu anakuzalia watoto wote hao bado hutaki kuishi nae ndo kwanza unaenda kwa wachuchu!.... It pain kweli, na umri huo ulikuwa ukiyoyoma!
Diddy nae kachangia haliepuki hili!
Najiuliza P.diddy ilikuaje akaangukia kwa shangazi yake? Maana umri wamepishana sana (kama ni hela pdiddy anazo pia au ndumba? Moze kwa Anti inaeleweka Maana dogo choka mbaya hivyo hana ujanja lazima atulie aleleweKim amesikitisha watu wengi. Na alivyoacha watoto ndo kabisa. Watakuwa bila mama.
Yaani shangaa sasa, hakuweza hata ku settle na mtu baada ya Diddy. Kama ndio kweli alikuwa na stress kiasi hicho, halafu hana mtu wa karibu, halafu baby daddy mwenyewe ndo Diddy suruali mikononi..
Apumzike kwa Amani kwa kweli.
Najiuliza P.diddy ilikuaje akaangukia kwa shangazi yake? Maana umri wamepishana sana (kama ni hela pdiddy anazo pia au ndumba? Moze kwa Anti inaeleweka Maana dogo choka mbaya hivyo hana ujanja lazima atulie alelewe
Duuh sikujua hilo nikajua p.diddy mdogo kama diamond. Basi nafasi ipo wazi kwa Hamissa (pugi) kupiga jaramba ampate p.Diddy maisha yaendeleeShangazi yake unamaanisha...Kim?!
Kama ni Kim na Diddy, Diddy mkubwa kidogo kwa Kim. Think he's pushing 50.
Duuh sikujua hilo nikajua p.diddy mdogo kama diamond. Basi nafasi ipo wazi kwa Hamissa (pugi) kupiga jaramba ampate p.Diddy maisha yaendelee
Ahhh ukiwa na mapesa kidole gumba kinageuka kuwa hogo[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji23][emoji23]
Mbona afadhali kajitafutia madolali.
At least yana cover palipopungua. Mpaka wakina Cassie wenyewe wanaenda na kurudi.
Halafu Naomi na Diddy naona kama vile wanaendana. Cos mmoja bachelor wa nguvu, na mwingine bachelorette wa nguvu.
Naomi nae sijui ilikuwaje akaachana na yule bilionea wake Mrusi.
Kamfanyaga mwenzake incubator sio vizuri![emoji22]Kim amesikitisha watu wengi. Na alivyoacha watoto ndo kabisa. Watakuwa bila mama.
Yaani shangaa sasa, hakuweza hata ku settle na mtu baada ya Diddy. Kama ndio kweli alikuwa na stress kiasi hicho, halafu hana mtu wa karibu, halafu baby daddy mwenyewe ndo Diddy suruali mikononi..
Apumzike kwa Amani kwa kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kanichekesha huyo jamaa...hajui diddy mzee anadata na baby face yake!Shangazi yake unamaanisha...Kim?!
Kama ni Kim na Diddy, Diddy mkubwa kidogo kwa Kim. Think he's pushing 50 too.
Mbele inaelekea hakuna jua kama bongo fikiria Tanzania sweetheart hajafika hata 31 lakini nyama zishaorojeka kama zote na hapo bado ana ndoto za kuolewa aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] kanichekesha huyo jamaa...hajui diddy mzee anadata na baby face yake!
Ataolewa mkuu...mpangaji ni MunguMbele inaelekea hakuna jua kama bongo fikiria Tanzania sweetheart hajafika hata 31 lakini nyama zishaorojeka kama zote na hapo bado ana ndoto za kuolewa aisee
Cassie kajirudisha!Diddy ananiachaga hoi na lifestyle yake ya 'blended family'.Huwa najiulizaga kwann haoi but one thing is for sure,anaipenda familia yake.Ana upendo mnoo hasa kwa watoto wake.He is such a responsible dad!!Kazi ipo kwa wanawake anaodate kama wanategemea ndoa.
Ahhh ukiwa na mapesa kidole gumba kinageuka kuwa hogo[emoji23] [emoji23] [emoji23]...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kanichekesha huyo jamaa...hajui diddy mzee anadata na baby face yake!
Kamfanyaga mwenzake incubator sio vizuri![emoji22]
KP alimpenda sana Diddy ndo maana alikubali kujizeekea bila partner!...yule jamaa hawezi kutulia kamwe!...na kweli bora kp kajipumzikia tu!
..Naomi hatulii kwenye mahusiano sijui kwanini?...yule mrusi alimmwaga coz Naomi mpenda bata na kulala nje....mzee wa watu akasepa!
Siku hizi kampata mbabu Louis Camillieri billionaire la kufa mtu, CEO la Ferrari na Altria group,....sema Naomi huwa hadate na maskini kama Serena Williams[emoji126]
Sio kwamba ni mbaya hapana hata mwenyewe namtamani (japo najua hawez kunikubali) maana hela yangu ya mawazo sana. Ikitokea bahati namkamua vizuri tu na mibangi yake.Ataolewa mkuu...mpangaji ni Mungu