Ndio hivyo heri kama ulianza nae ukiwa huna ukapata ukiwa nae,kama smith jada alifuata pesa mana alimkuta tajiri
Kwani mke wa kwanza si Ivana? Wa pili si ni Melanie au kuna wa kati hapo?Halafu Trump inaonekana alijipanga vizuri na ndoa zake. Wale wake zake wa kwanza na wa pili hawaku pata cha nusu wala robo ya mali zake. Yule wa pili ndo kabisa, sidhani kama settlement yake ilifika $30 Mil.
Kwani mke wa kwanza si Ivana? Wa pili si ni Melanie au kuna wa kati hapo?
Kenzo?[emoji23] [emoji23] ....mzuri mnoo ni black lkn kafanana na Kimora mnoo
Hugh?.... Jamani kati ya waliokula raha duniani ni huyu mzee dah!.... Mademu kama wote vile[emoji23] [emoji23] [emoji23]Heheh!, unamkumbuka playboy Hugh Hefner, alikuwa na 90 na akaoa binti wa 20s..😀
Hata mi ningekuwa mwanaume ningemuiga Diddy...haiwezekani papuchi ikulostishe kifala falaNdio dawa yao mana wakipata nafasi wanakupukutisha balaa,nkimuangalia tigerwoods,russel simmons nawaonea huruma mtu amekukuta uko safi anakurudisha nyuma 50% plus stress tupu
Wamemwagana zamani!..now ni mabest tu full kukotiana na kutagiana insta[emoji23]Hivi walishamwagana?!, lakini kukaa na Kimora yataka moyo..
You can tell she always wear big pants in a relationship. Sasa yule mu west..
Hata reality show yake haiku last. I bet producers walibwaga manyanga! 😀
Hata Jada hakuwa haba lakini!....yaani kwa mwanamke wa kudivorce mkagawana mali bila presha ni Hov vs Beyonce!.. Yule mmama safi sana!Ndio hivyo heri kama ulianza nae ukiwa huna ukapata ukiwa nae,kama smith jada alifuata pesa mana alimkuta tajiri
Hata Jada hakuwa haba lakini!....yaani kwa mwanamke wa kudivorce mkagawana mali bila presha ni Hov vs Beyonce!.. Yule mmama safi sana!
$400M??[emoji15] [emoji15] ...Brad kende lazima lishuke mamaae!Hahah!, yaani J. Aniston naona ali pop Champagne baada ya Brangelina kuvunjika...lol
Divorce yao bado. Their lawyers are still working on it.
Word on the street...kuna dough ya about $400 million inatakiwa kugawanywa kati yao..
[emoji42][emoji42]Hata mi ningekuwa mwanaume ningemuiga Diddy...haiwezekani papuchi ikulostishe kifala fala
Hugh?.... Jamani kati ya waliokula raha duniani ni huyu mzee dah!.... Mademu kama wote vile[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Diddy anamuiga huyu mzee View attachment 944210View attachment 944212
Haaahaaa[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] ...why it cheaper to keep her? Huh!Umenikumbusha haya maongezi ya Jada na Will kwenye RED TABLE ya Jada..
“You know why I never got divorced? Will Smith asked.."
“It’s cheaper to keep me,” Pinkett Smith quipped, causing Smith to burst into laughter.."
Oooh ok!...Trump nae mwingi eeeh?Melania ni mke wa tatu. Kuna wa pili ambae ni baada ya Ivana. Mama yake Tiffany Trump.
Wamemwagana zamani!..now ni mabest tu full kukotiana na kutagiana insta[emoji23]
Vip Kimora mtata eeh?
Haaahaaa mi nimecheka balaa!....yes na Seal alimpataga Heid but why hawadumu?tweenty4seven amenichekesha, eti kama wa Kisumu...lol!
Halafu wa West wana ngekewa kweli na Models.
Seal nae si alijipatia Heidi Klum..
Hivi inawezekana wasigawane mali? Wana agreement lkn wale coz nahisi Jay hakutakaga kuoa ni force za Bey tuWanaweza wasigawane mana jigger sio fala istoshe ndio kamyanyua mpka hapo aliposasa
tweenty4seven amenichekesha, eti kama wa Kisumu...lol!
Halafu wa West wana ngekewa kweli na Models.
Seal nae si alijipatia Heidi Klum..
Haaahaaa.....vyovyote utakavyochukulia mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe mungu anakuona juzi ulisema wewe ni me leo tena wasema ungekua kidume ungewakonki,[emoji42][emoji42]