Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Ndio hivyo heri kama ulianza nae ukiwa huna ukapata ukiwa nae,kama smith jada alifuata pesa mana alimkuta tajiri


Umenikumbusha haya maongezi ya Jada na Will kwenye RED TABLE ya Jada..


“You know why I never got divorced? Will Smith asked.."

“It’s cheaper to keep me,” Pinkett Smith quipped, causing Smith to burst into laughter.."
 
Kenzo?[emoji23] [emoji23] ....mzuri sana, ni black lkn kafanana na Kimora mnoo
 
Halafu Trump inaonekana alijipanga vizuri na ndoa zake. Wale wake zake wa kwanza na wa pili hawaku pata cha nusu wala robo ya mali zake. Yule wa pili ndo kabisa, sidhani kama settlement yake ilifika $30 Mil.
Kwani mke wa kwanza si Ivana? Wa pili si ni Melanie au kuna wa kati hapo?
 
Heheh!, unamkumbuka playboy Hugh Hefner, alikuwa na 90 na akaoa binti wa 20s..😀
Hugh?.... Jamani kati ya waliokula raha duniani ni huyu mzee dah!.... Mademu kama wote vile[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Diddy anamuiga huyu mzee
IMG_20181123_204413_769.JPG
IMG_20181123_204438_480.JPG
 
Hivi walishamwagana?!, lakini kukaa na Kimora yataka moyo..
You can tell she always wear big pants in a relationship. Sasa yule mu west..

Hata reality show yake haiku last. I bet producers walibwaga manyanga! 😀
Wamemwagana zamani!..now ni mabest tu full kukotiana na kutagiana insta[emoji23]

Vip Kimora mtata eeh?
 
Ndio hivyo heri kama ulianza nae ukiwa huna ukapata ukiwa nae,kama smith jada alifuata pesa mana alimkuta tajiri
Hata Jada hakuwa haba lakini!....yaani kwa mwanamke wa kudivorce mkagawana mali bila presha ni Hov vs Beyonce!.. Yule mmama safi sana!
 
Hahah!, yaani J. Aniston naona ali pop Champagne baada ya Brangelina kuvunjika...lol

Divorce yao bado. Their lawyers are still working on it.
Word on the street...kuna dough ya about $400 million inatakiwa kugawanywa kati yao..
$400M??[emoji15] [emoji15] ...Brad kende lazima lishuke mamaae!

Hivi alifikiria nini kumwaga demu mtulivu kama Jen? Akakimbilia kwa kicheche Angie, yule demu hadi alikuwa anasex na braza ake toka nitoke, huyo zimo kweli?

Sawa Brad aliwambia washikaji zake kuwa Jennifer hana kizazi but si angetafuta binti aoe? Kaenda kulivaa shangingi la Hollywood... Ngoja divorce itoke aanze kula sembe kama Woods
 
Moto wa divorce sio wa kitoto kwa watu kama hawa. Jada anakwambia ataki wakisha...lol
Hugh?.... Jamani kati ya waliokula raha duniani ni huyu mzee dah!.... Mademu kama wote vile[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Diddy anamuiga huyu mzee View attachment 944210View attachment 944212


Hahaha!, yaani huyu mzee kweli aliamua kula maraha. Diddy labda anafuata nyayo cos anawabadili kama nguo.

Alikuwa ananifurahisha alivyokuwa anashinda na Pajamas, kila wakati..😀😀
 
Umenikumbusha haya maongezi ya Jada na Will kwenye RED TABLE ya Jada..


“You know why I never got divorced? Will Smith asked.."

“It’s cheaper to keep me,” Pinkett Smith quipped, causing Smith to burst into laughter.."
Haaahaaa[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] ...why it cheaper to keep her? Huh!
 
tweenty4seven amenichekesha, eti kama wa Kisumu...lol!

Halafu wa West wana ngekewa kweli na Models.

Seal nae si alijipatia Heidi Klum..
Haaahaaa mi nimecheka balaa!....yes na Seal alimpataga Heid but why hawadumu?

Angalau Seal kakaa miaka mingi na Heid, hivi usoni jamaa alipataga ajali or?
 
Back
Top Bottom