Bey anampenda Jay sana...na Jay anamzimikia Riri!Nami nahisi hivyo beyonce alijimuvuzisha kufuata pesa ile sura bila pesa ni balaaa
[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haaahaaa.....anashinda na pajama ili iwe rahisi kutoa kiba100 chake kwa totoz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Yeep!
Jada nae mi hata simuamini ...ubavu wa kumuacha Will hana yule, coz mara kibao anamfumania anang'aka baadae anapotezea!Hahaah!, naona Jada hajui kukopesha. Anampa Will za uso hapo hapo...lol
It's cheaper to keep her, sababu ni kama haya tunayoongelea hapa. Waki divorce halafu kama hakuna prenutials ndio yatakuwa ya Tiger Woods na Erin. Will itabidi zimtoke haswaa, halafu wanawapa hayo mamilioni kutokana na miaka waliyo ishi pamoja ndoani, ama nusu kwa nusu.
Halafu Jada kwenye episode ijayo ya RED TALK ataongelea kuhusu divorce, kadokezea jinsi ambavyo anaweza kuleta zengwe! 😀
“For me personally, I’m not mature enough to have a divorce,” Pinkett Smith revealed. “I’m just not. I don’t think I would ever be mature enough. I don’t.”
When Braxton asked why, the mother of two explained, “Because when you have to start going in, breaking up assets, that right there…”
Nodding, Pinkett Smith continued, “Let me tell you, that’s when the red table turns upside down and it won’t be red no more!..“This’ll be smashed in shambles,” she added, knocking on her red table. “You know what I’m saying?”
Source ya ndoa yao kuwa void eti Brad alikuwa anachukia wale adoptive children wa Angie yaani eti ni wengi mnoo, kingine eti Angelina mlevi, mgomvi kitu kidogo anakushikia kisu ( utadhani msomali[emoji28] [emoji23] )
Angeline nae anasema Brad alikuwa anampiga kama ngoma!
Yale yale ya Jlo na Marc...
Haaahaaa...mi konki master no1Mie konki master no 2
Haaahaaa...mi konki master no1
Hivoo?... Kaka ake eti anasemaga ana lupus sijuiZile scar usoni I think alipataga ajali. Kama nakumbuka vizuri kuna mahala alisema..
Hivi uliwahi sikia ni kwa nini Heidi alimzimia Seal?!
Kwakweli Kimora na Djimon hawakuendana kabisa..utadhani houseboy wake haki tena!
Ila Kimora ana strong feeling na Honsou, anampenda huyo jamaa sana!
Sijui ni on bed alikolezwa....
Yes ...Jay huwaga hamzimikii Bey sijui kwanini, hivi unajua hadi bidada anamuhonga assets, cash ( MasterCard ya Bey inamilikiwa na Jay) halafu linaenda kuhonga striper, hadi yule mshona nguo Roy, vidada 20's vinakamatia mshiko wa hov na jamaa unaambiwa anahonga kinoma...usimuone Bey anajichekesha chekesha ukaona anafaidi hana lolote!...siri zake nyingi Kelly Rowland ndo anazijua na anazifichua kwa mahater wa BeyHalafu I think Jay ali mention mahala, kuwa Bey ndo spinal cord ya ndoa.
Usikute Bey asinge kuwa na msimamo Jay nae angekuwa kama Diddy sai! 😀
Haaahaaa[emoji23] [emoji23][emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzee alitia fora kwa kweli. Yaani PJs ndo likawa vazi lake rasmi! [emoji38]
Hivoo?...Heidi alimzimia kwa nini? Sijawahi sikia
Jlo alisema ni abuser na dependent on narcotic drugsHivi Marc alikuwa abuser?!, mbona hajakaa hivyo aseh!
SanaaNilifikiri ni mwenyewe niliona hivyo..wako tofauti kwa kweli.
Haaaahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ....nilihisiHis "manhood" ...lol!
Heidi kapinda! 😀
Jlo alisema ni abuser na dependent on narcotic drugs
Nilichoka....ila kwa unga yawezekana jamaa anafanania na mateja, ila kwa kipigo kama jlo alivyolament sijuiKhaa!, Marc na ule wembawemba halafu na drugs tena!..
Kimora nae ndo sababu ya kumzimia jamaa?!, [emoji3]Haaaahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ....nilihisi
Yale yale ya Kimora Lee na Djimon
Wameachana lakini Kimora kutwa kumsifia Djimon[emoji23]Kimora nae ndo sababu ya kumzimia jamaa?!, [emoji3]
Hawa Wa West hawa, sijui ni hizo pepper soup wanakula..[emoji28]
Halafu kukawa na rumors kuwa alitoka pia na Jada. Lakini naona walisema vile kutokana na Ile show yao walikuwa pamoja ya RN. Walikuwa na chemistry ya nguvu sana when it came to romance mpaka ikawa questionable.Nilichoka....ila kwa unga yawezekana jamaa anafanania na mateja, ila kwa kipigo kama jlo alivyolament sijui