Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Huyo mjane wa Elvis Presley kawa mzuri or mbaya? Maana yule mbibi kwa visu hajambo
 
Mmama sistaduu balaa....kuna huyu na yule ex wife wa Eddie Murphy, Nicole wanajipenda sana hawa wamama!


Hata nimemkumbuka pia Nicole. Yeye ndo kafikisha 50 lakini ukimuona na binti zake utasema ni mashosti wake..
 
Umeona eeh....kaumbo kazuri sana ila usoni, halafu mda wote Kim anapenda kucheka cheka hata kama kitu hakichekeshi[emoji15]


Yeah, she always smiled jamani.
Mitandaoni wanadai hapa mwisho mwisho alionekana kuwa na Stress.
Lakini kamvumilia sana P. diddy huyu mwanamke aseh!
 


Ni kweli. Huyu dada sidhani kama alifanya plastic surgery. Ana genes nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…