[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28]Aseh!, kumbe alimzidi MJ umri hivyo!
Kweli eti angesettle tu na Kim, naamini Kim alimpenda Diddy kwa mapenzi yote!
Unasikia tena jipya? Eti Didy kasacrifice![emoji15] [emoji15]....sacrifice ya kwanza ni Notorious, na pili ni huyu eti masharti....watu wa mtaani kwa Kim wanachonga balaa
Haahaaa....Leo tutajua yote!Whaaaat!, ku sacrifice tena??!!! 😳😳😳
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28]
Haahaaa....Leo tutajua yote!
Mapichaz pulizi!Muangalie orprah alivyo sasa hivi anaonekana mdogo na sura ya kisichana ukilinganisha alivyokuwa 30 yrs ago. Pia muangalie tony braxton. Ila pia ni kulinga na genes za mtu hata ukienda under the knife na huna genes nzuri utakongoroka tu kama michael jackson. Mjane wa elvis presley alikuwa tishio enz za ujana wake lakini sasa hivi ukimuona licha ya maplastic surgery anatisha
Sky Eclat
Yaani hii imekua kasumba huko mamtoni!! "Found dead" sijui huwa wanaishije hawa watu? Hawana familia za kuishi nazo,hawana wasaidizi wa ndani,hawana majirani!!Sasa kule kucheka cheka yuko high mda wote!.... Yule itakuwa stress, maana Diddy malaya kuoa haoi anatotolesha tu mmama wa watu anaona anajizeekea tu home! Watoto wanaishi na babaake yy anaishi alone daah!
Hivi hakuwa hata na house girl? Mbona eti wamekuta nyumba tupu, yy kafa tu kitandani?
Upo vizuri kwa takwimuHuyo ni mamaake Lisa Presley wa Wacko Jacko, anaitwa Priscilla Presley!
Lisa ana 50 bado kisu balaa, japo age imesonga
Notorious aliuawa sasa sacrife iko wapi hapo...pambafuuu zaoKweli eti angesettle tu na Kim, naamini Kim alimpenda Diddy kwa mapenzi yote!
Unasikia tena jipya? Eti Didy kasacrifice![emoji15] [emoji15]....sacrifice ya kwanza ni Notorious, na pili ni huyu eti masharti....watu wa mtaani kwa Kim wanachonga balaa
Yaaan kumbe wazungu nao wambea balaa...notorious kapigwa shaba kila mtu aliona sasa sijui wanamaanisha niniNotorious aliuawa sasa sacrife iko wapi hapo...pambafuuu zao
...hapo sasa mkuu,..anyway acha wajunguaneYaaan kumbe wazungu nao wambea balaa...notorious kapigwa shaba kila mtu aliona sasa sijui wanamaanisha nini
Found dead zimekuwa fasheni now....sasa huyu mmama ana watoto kibao lkn anaishi peke yake! Nini maana ya kuzaa sasa si ili mtu usiwe mpweke?Yaani hii imekua kasumba huko mamtoni!! "Found dead" sijui huwa wanaishije hawa watu? Hawana familia za kuishi nazo,hawana wasaidizi wa ndani,hawana majirani!!
Diddy ana roho nzuri mnoo....watu wake wa karibu wanamsifia sana! Na itakuwa yuko humble sana....sema umalaya sasa! Yaan hapo kwenye kidudu chake ndo kuna tatizo[emoji23]Lakini Diddy alifanya poa kum adapt Quincy wa Kim. Kwa tabia yake kajitahidi sana, baby mamas wawili tu kwa watoto wote.
Wamefanana mnoo sijakushangaa hata!Hahaha!, haki nilidhani ni Lisa...LOL!
Watajijua wenyewe...watu hawataki natural death kama tu huku bongo...hapo sasa mkuu,..anyway acha wajunguane