Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Mpenzi wa zamani wa P. Diddy, Kim Porter afariki dunia

Kweli eti angesettle tu na Kim, naamini Kim alimpenda Diddy kwa mapenzi yote!

Unasikia tena jipya? Eti Didy kasacrifice![emoji15] [emoji15]....sacrifice ya kwanza ni Notorious, na pili ni huyu eti masharti....watu wa mtaani kwa Kim wanachonga balaa

Whaaaat!, ku sacrifice tena??!!! 😳😳😳
 
Muangalie orprah alivyo sasa hivi anaonekana mdogo na sura ya kisichana ukilinganisha alivyokuwa 30 yrs ago. Pia muangalie tony braxton. Ila pia ni kulinga na genes za mtu hata ukienda under the knife na huna genes nzuri utakongoroka tu kama michael jackson. Mjane wa elvis presley alikuwa tishio enz za ujana wake lakini sasa hivi ukimuona licha ya maplastic surgery anatisha
Sky Eclat
Mapichaz pulizi!
 
Sasa kule kucheka cheka yuko high mda wote!.... Yule itakuwa stress, maana Diddy malaya kuoa haoi anatotolesha tu mmama wa watu anaona anajizeekea tu home! Watoto wanaishi na babaake yy anaishi alone daah!

Hivi hakuwa hata na house girl? Mbona eti wamekuta nyumba tupu, yy kafa tu kitandani?
Yaani hii imekua kasumba huko mamtoni!! "Found dead" sijui huwa wanaishije hawa watu? Hawana familia za kuishi nazo,hawana wasaidizi wa ndani,hawana majirani!!
 
R.I.P Kim.
Muonekano wake hauendani na Umri wake.
Kibongo bongo umri huo na watoto hao angekuwa kibibi.
Mastar wa Bongo wameshindwa kabisa kumaintain.
 
Kweli eti angesettle tu na Kim, naamini Kim alimpenda Diddy kwa mapenzi yote!

Unasikia tena jipya? Eti Didy kasacrifice![emoji15] [emoji15]....sacrifice ya kwanza ni Notorious, na pili ni huyu eti masharti....watu wa mtaani kwa Kim wanachonga balaa
Notorious aliuawa sasa sacrife iko wapi hapo...pambafuuu zao
 
Notorious aliuawa sasa sacrife iko wapi hapo...pambafuuu zao
Yaaan kumbe wazungu nao wambea balaa...notorious kapigwa shaba kila mtu aliona sasa sijui wanamaanisha nini
 
Back
Top Bottom